Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,016
- 16,433
Hii South SUdan ni nchi ina potential sana. Sijui huwa wanapigana kwa nini? Kenya ilikuwa inastahili kuwa inatawala huko lakini vita ndio imezuia.
Lishamba lile sasa 4g,kwa kenya inaonekana mtu akiwa na simu yenye 4g anakuwa mtu classic sana,halafu tukiwaambia wako nyuma yetu,wanaanza kulia!🤣Unajua Kuna watu Wapuuzi na Wajinga
Yaani Leo hii kuna mtu anajisifia 4G kweli
Au Wif
Nijisifu kuwa na 4G!!
View attachment 1659796
Gari unaigundua kwa label hapa huwezi
Wewe kama simu yako haiwezi kuzoom wacha kupigia watu makelele. Watu ambao wanaweza kuzoom wamezoom na wamekagua mali.Huu ni utopolo huu jameni hebu oneni hii kitu mkenya anapost humu zen anaita ni warehouse![]()
4G kama hivi kwake ni big deal, yaani mkenya na ushamba utafikiri wamefunga pingu za maishaLishamba lile sasa 4g,kwa kenya inaonekana mtu akiwa na simu yenye 4g anakuwa mtu classic sana,halafu tukiwaambia wako nyuma yetu,wanaanza kulia!🤣
KabisaDiamond apewe tuzo ya kiswahili na serikali, halafu hata kule Mali, Djibouti, Senegal, Cameroon, Ivory Cost akienda kupiga show lazima kiongozi mkubwa wa serikali ahudhurie na ni show za stadiums
RC ndio ng'ombe gani?Rc anatumia infiniti sijui huko failed state mambo yakoje🤣🤣👇👇
View attachment 1660606View attachment 1660607View attachment 1660609
Nime-zoom si warehouse!Wewe kama simu yako haiwezi kuzoom wacha kupigia watu makelele. Watu ambao wanaweza kuzoom wamezoom na wamekagua mali.
Unamuita ng’ombe huyu 👇👇👇RC ndio ng'ombe gani?
mkuu wa mkoa by the way hata cdf anatumia iyo Nissan sio ata ishuRC ndio ng'ombe gani?
Hahaha!!we mzee kweli umechanganyikiwa...Gari unaigundua kwa label hapa huwezi
Kujua kama hii ni s600!
mwambie huyo ni mkubwa kuliko sonko minyororo.Unamuita ng’ombe huyu
Regional commissionerView attachment 1660769View attachment 1660770View attachment 1660771View attachment 1660772View attachment 1660773


,yaani kenya jaman,

Gvana ni mtu mkubwa sana mkuu, RC na CC lazima waelewane kufanya kazi nae kila mtu anajiona yeye ndio mbabe..mwambie huyo ni mkubwa kuliko sonko minyororo.
kuna clip nimeona anamtukana mtu,matako wewe,yaani kenya jaman,
![]()
Regional commissioner mkuuRC ndio ng'ombe gani?
Ni nini?Nime-zoom si warehouse!
governor ni mkuu wa jimbo.huku majimbo wamepewa wabunge.Gvana ni mtu mkubwa sana mkuu, RC na CC lazima waelewane kufanya kazi nae kila mtu anajiona yeye ndio mbabe..
Ila mi bado nasema RC na CC kw gavana bado sana tukija ki siasa