The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Kwenye mbio wala hakuna ubishi cz tuliwafundisha wenyewe enzi zile za Filbert Bayi zen tukapuuzia mkatupita.Ni sport gani watanzania wanajua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1655308
So hizo medals zote ni za mbio na najivunia wanafunzi wetu mlifanya vzr.