Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajifanya mjuaji na hakuna unachojua[emoji23][emoji23][emoji23]. Wamesema the tall tower is 27 usable floors with three viewing decks above the service floor. Hizo 27 floors ziko kwa hii part hiko na glass which are 22 na hiyo part ya chini ambayo haijawekwa glass which are 5. The three viewing floors ziko kwa hiyo part ya yellow juu kabisa of which ukizoom vizuri utaziona.View attachment 1654995View attachment 1654996
Kwahyo viewing decks ni floor [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Sawa teacher [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
IMG_20201220_124432_788.jpg

Ati nini, wewe mtu mdogo sana kwangu.
 
Wakenya wa humu jf wananifurahisa sana wao maendeleo kwao ni Majengo marefu pamoja barabara zilizolundikana mji mmoja tu. Kila muda ni kurudia rudia kutuma picha za majengo tu. Sisi Tanzania tunaboresaha maisha ya wananchi kwa kujenga miundombinu yote muhimu kwa maisha ya binadamu kila mahali, kama vile;
  1. shule za msingi, sekondari na vyuo vya ufundi kila wilaya,
  2. Hospitali, zahanati navituo vya afya kila wilaya,
  3. Barabara kuu (highway) na barabara za mjini/vijijini,
  4. Meli za abiria na mizigo, vivuko (ferries,
  5. Reli ya yenye umeme na tunakarabati/upgrade reli yetu aliyotuachia mkoloni
  6. Tunanunua ndege za abiria na mzigo,
  7. Tunajenga masoko ya kisasa kila mkoa,
  8. Tunajenga machinjio za kisasa
  9. Bwawa la kufua umeme na pia kujenga vituo vya kuzalia umeme kwa nguvu za gesi
  10. Madaraja kwenye mito, baharini, ziwani na kwenye mabonde
  11. Tunajenga miundombinu ya kusambaza maji mijini na vijijini (hili kwa baadhi ya maeneo mijini na vijini +ve effect yake imeshaanza kuonekana)
  12. Ongezeeni mengine maana ni mengi mno kuyataja yote mimi peke yangu
Ndo mana nchi yetu ni the most urbanized country in East and central Africa.
 
Asante ndugu, niskie tena mtu anasema kuwa TPA ni 40 floors[emoji23][emoji23][emoji23]. The numbers are clearly showing 36 floors[emoji23][emoji23][emoji23]
As ussual fool....how many bottons are there[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plus those top floors.....that bad ass is 40 floors take it or leave it[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji381]
 
Back
Top Bottom