Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakiambiwa mzigo ni 40 waelew....
Wewe unaona hizo numzikifika 40?[emoji23][emoji23][emoji23] Ama leo umepoteza macho?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
tapatalk_1608447660795.jpeg
 
Ina 36 floors na yeye amesema 35. Sasa hii floor moja ndio inafanya ulie machozi?
Kwanza akina ichoboy01 walikuwa wanadanganya kuwa ni 40 floors[emoji23][emoji23][emoji23]. Kuna siku nilihesabu nikapata 36 floors wakanitusi hapa vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
wewe sisi huwa tunaamini kama ujinga wako una afadhali kidogo,lakini hapa unathibitsha nawewe ni wale wale,kiazi wahed.

kwani za chini zinaitwaje!!!hii case ikiwa upande wenutatafuta maelezo yote kujazia kama kule kwenye floating bridge.
[emoji116][emoji116][emoji116]unaweza hesabu ukitakaView attachment 1654949
Floors huwa zinanza kuhesabiwa from above the ground and not below the ground. Hizo za below ground zinaitwa basement, nitakufundisha mpaka lini wewe?[emoji23][emoji23]
 
Narudia kukwambia hvi niletee kibao cha construction na unioneshe site ya ujenzi iko wap mm nafunga acc jamii forum mark my words [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Cheza na administration wewe.
 

Attachments

  • 11836418_11834068bvybmoypng1ef72b836ce9a75b61a6a6c7145dba9c_png223de33a5cbea9c55234447b987e58c3.png
    11836418_11834068bvybmoypng1ef72b836ce9a75b61a6a6c7145dba9c_png223de33a5cbea9c55234447b987e58c3.png
    12.5 KB · Views: 16
Floors huwa zinanza kuhesabiwa from above the ground and not below the ground. Hizo za below ground zinaitwa basement, nitakufundisha mpaka lini wewe?[emoji23][emoji23]
huna elimi ya kunifunza mimi.

kwahiyo hao waliokwambia cbk ina 27 unaona ni vilaza ila weww ndio uongezes 3 hapo juu.
 
Back
Top Bottom