Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sijui umenielewa mkuu[emoji846] au nikueleweshe nahisi ujapata point yangu, Nairobi na vinyumba vyenu vidogo dogo ukiweka kitanda haufungi mlango mnajenga ovyo [emoji846] yaan Tanzania sio level yenu hamna standard housing kama Sisi Tanzanian huwez ukajenga bila kizingatia ubora
Yenyewe majengo yenu yana ubora wa hali ya juu
images-4.jpg


Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 


Definition [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

An urban area is the region surrounding a city. Most inhabitants of urban areas have nonagricultural jobs. Urban areas are very developed, meaning there is a density of human structures such as houses, commercial buildings, roads, bridges, and railways. "Urban area" can refer to towns, cities, and suburbs.
Narudia tena, nyinyi mumejazana dar[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile siku utaniletea city ambayo ina watu milioni zaidi ya dar bongo nishtue
 
Back
Top Bottom