Kz zenu izo..pimbi ww
What do you know about writing?"Are seeing"??
Is that Chinese or English language?
Ww siulisem inaisha na icho ni nini



umepost kilaza wwAcha ukicha iyo pich ni ya 2020Zilizopo kwenye hii picha ni tower tatu pekee na tuko 2020.....sasa hizo zingine ziko wapi kama ulivyo list hapo juuView attachment 1655103
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app



embu onyesha mzizima hapo au hata MNF



Acha kuongea km falaa ww....embu jaribu kuleta hii kitu apo kunya nzimaMombasa inaua nyoka leo, wanashangaa Dar ina fly over moja tena grant ilhali msa inajenga 42km of greatness mpaka mariakani.
View attachment 1655101




Kunya wengi ni vichaaaaYenyewe majengo yenu yana ubora wa hali ya juuView attachment 1655109
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Izo chuma tu mm hoiiiiAf we inaonekana ni wa kibera au gorokocho, pia mwambie mwenye nyumba awapigie rangi imechoka sn![]()






Kwanza ile picha niyazamanHiyo ndio shida yenu wakunya, nairobi inaonekana kwenye picha moja.
So jua kuwa DSM imejengeka sehemu kubwa ndio maana unapata shida kupata DSM kwenye picha moja.
Mfano ni hili hapa, huweziliweka kwenye picha moja na TPA: PPF TOWER : ::: Estim Construction :::
View attachment 1655149
View attachment 1655154
Ww funga tuu mana umesha onyeshwa mpka ..sasa hujafunga unasubir nn?
Tupe jina ya hili daraja
Ww siulihesab bila doom ukapata 37..unatak nini zaidHiyo hoteli ndio the 36th floor![]()
Ww ni kichaaaaUnajua kilimani pekee inaupana mkubwa zaidi ya posta,kariokoo na upanga combined?.... Yani hii ndio posta,kariokoo na upanga vs Ngara ambayo ni mtaa tu na bado cbd,Westlands,kilimani na Mombasa road area hazipo View attachment 1655167View attachment 1655168
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
Alafu hapo juu ukasema 36...na hapa umesema 37 alafu hapo juu kweny doom hutaki kupahesab chizi wwHow many floors can you see here?Nimejaribu kuwa lenient nakahesabu hadi ground yenye haifai kuhesabiwa
.
Mimi nimehesabu 36 floors + ground flour.View attachment 1655169
Ni kichwa tuu ndio kubwa hapo kwa akili ni ndugu zako walienda nazoPosta,kariokoo,upanga vs Mombasa road areaView attachment 1655170View attachment 1655171
Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app