Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo ndio shida yenu wakunya, nairobi inaonekana kwenye picha moja.
So jua kuwa DSM imejengeka sehemu kubwa ndio maana unapata shida kupata DSM kwenye picha moja.

Mfano ni hili hapa, huweziliweka kwenye picha moja na TPA: PPF TOWER : ::: Estim Construction :::

View attachment 1655149

View attachment 1655154
Unajua kilimani pekee inaupana mkubwa zaidi ya posta,kariokoo na upanga combined?.... Yani hii ndio posta,kariokoo na upanga vs Ngara ambayo ni mtaa tu na bado cbd,Westlands,kilimani na Mombasa road area hazipo
6a00e5517ca267883401b7c7f5efe9970b.jpg
tapatalk_1593686896946.jpg


Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 
Bro hapo wapi? Mbona kama vile uvira labda na huko upajui Mimi nakuelezea kulingana na experience yangu binafsi sijui umenielewa? Nimekaa Nairobi zimerman,umoja 2,ina core na nimefika mitaa mbali mbali Yani kwa ufupi slum zenu nazijua vizuri[emoji846]mfano slum ya Kwanza na ya pili mathare upande wa desert,ya tatu kibra au kibera alafu ya nne korogocho upande wa mukuru au dandora dumpsite Sawa?[emoji846]

Jamaa kaamua kutuwekea picha za uvira kwa kina Christian bella [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Posta,kariokoo,upanga vs Mombasa road area
6a00e5517ca267883401b7c7f5efe9970b.jpg
tapatalk_1599518065912.jpg


Sent from my Infinix NOTE 2 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ziko 38..sasa ukiambiw jengo zima ni 40 unalia nn?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa ziko 36, hizo nne zinatoka wapi?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Huoni 38 hapo ww pimbi ..plus those 3 floors at the top[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] plz swallow the bitter pills
Nimehesabu floors zote plus ground floor yenye huwa haisabiwi lakini bado ni 36[emoji23][emoji23][emoji23]
 
As ussual fool....how many bottons are there[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] plus those top floors.....that bad ass is 40 floors take it or leave it[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji381]
Wewe unajua hata venye floors zinahesabiwa kweli?[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe huoni hizo buttons zimeandikwa tu vizuri from 1-36?[emoji23][emoji23][emoji23] Ama umeona yenye imeandikwa 40 hapo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
tapatalk_1608447660795.jpeg
 
Apo nairobi estates zimezungukwa na slums kila kina....

Haya angalia hilo jam simuanze tu ku-ride bike apo mnashindana kununua probox ili muonekane mko middle income
gettyimages-621191846-612x612.jpg
images%20(6).jpeg
 
Mind kila batton hapo inamanisha floors ...nyingne sio kwajil ya regular service
Acha ujinga,hizo buttons zenye haizikuwa numbered za basement. Na basements are not counted as floors[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom