xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,301
- 5,379
we unaona vinafanana na vyenu?Mbona vibanda kila Corner[emoji23][emoji23]
we unaona vinafanana na vyenu?Mbona vibanda kila Corner[emoji23][emoji23]
www.dart.go.tz
wewe nduza kweli deals za kuuza nchi!!!Uhuru huenda kw ajili ya trade deals, kibwengo jiwe kaona mambo yamekua magumu sasa inabidi ukope tu[emoji1787][emoji1787]
Fukara nyie mpka km 5 rais anafunga safari ya kuomba mkopo hahahhahahahahUnadhani Kenya ni maskini kama Tanzania yenye ilijenga gorofa tatu ikaishiwa pesa?[emoji23][emoji23].
Hao siwanajipendekeza ...sasa nyie ndio mnajipendekeza pipi nyie tena na mafuta mnachoma kwenda kuomba mil 100+ hahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alafu mko na gdp ya 100b mavi ya kuku kabisa nyie....foolsHeri mikopo ya $140m kuliko msaada ya $35m[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani hadi pesa kidogo kama $35m hamuezipata?[emoji23][emoji23]
Mafurafura tu nyie wa 5 km mkopo[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Actually it's 20km[emoji23][emoji23][emoji23], 5km from JKIA to Syiokimau and then 15km from Syiokimau to CBD. Najua huna akili ya kufahamu hiyo[emoji23]
mradi wa tsh 10bln nao ni wa kupigia kelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uhuru na Kazi. Wengine hawana pesa, rais wao anatumia President wa China ujumbe wa "please call me"[emoji23][emoji23][emoji23]
Wcha kuleta sera fake hapa ....wazee wa 5km loan ....majinga ya mwaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani hayo marekebisho yatafanywa bure? This kind of reasoning is the reason I usually call you a warthog[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] halafu ngoma mizigo iliingia ikulu noma kwelHiyo siku Tanzania imepokea msaada wa chakula nishtue View attachment 1651526
Says a citizen from 5km rail loan country...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] better shut that big emty mouthAcha porojo mingi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], mbona mnakopa? Si niliskia Rufiji na SGR ni pesa za ndani?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Yani kila kitu Tanzania kama sio mkopo basi ni msaada[emoji23][emoji23][emoji23].
Lazima umie mana mlevi wenu ilimbid afunge safar na bado akanyimwa mkopo wa SGR[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo excuses zako za kijinga peleka kwa choo,[emoji23][emoji23][emoji23] kwani ulikuwa hapo wakiongea na simu ukaona kama rais wa China ndio alipiga? Ama Magufuli alimtumia ujumbe ya "please call me" ?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23],
Kubishan n ww inabid kwanza mtu atoe ubongo abaki na skull hapo ndio kuelewan kutakuj[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta watu wa kudanganya[emoji23][emoji23][emoji1787], the remaining amount mlipewa na Africa development Bank[emoji23][emoji23][emoji23]. T
Asante waziri wa fedha kwa taarifaPhase 1- $1.2b loan from Turkey
Phase 2- $1.4b loan from Standard Chartered Bank.
[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Najua umeamua kuwehuka, kwhyo hyo ni haki yako kibinadamuwewe nduza kweli deals za kuuza nchi!!!
Afadhali ukakubali km jiwe kapigiwa ili akope[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]Ewaaa hapo umepatia, sisi tunakopeshwa pesa taslim, hatukopeshwi mapipa ya chang'aa yaliyothaminishwa kwa pesa taslim, hiyo ndio tofauti ya tanzania na Kenya
Na hatupapatikii huwa tunafuatwa [emoji23][emoji23]
Ndio mana ukagoam kutoa link...sababu unatumia akili ya buibui kujenga nyumba isiyo msaidia juani wala kweny mvua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji117]Sasa anapingana na hawa?[emoji23][emoji23] View attachment 1651505
Akili mgando hizi[emoji1787][emoji1787]Kwa sababu hawana uhakika wa kulipia internet
Tofauti yetu na nyinyi hatuongopewi km serekali haikopi, ila nyie mnapigwa nyondo za longo longo kila leo..Dooh kumbe tumekopa hivyo? Ila bado mnatuzidi kwa mikopo karibu mara million na hakuna chochote kwa ground mnachotuzidi [emoji23][emoji23]
Ni aibu kweli hahahhaha[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajichekesha ukijua utopolo ulio ufanyaKumbe wewe pia umeipata?[emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116]View attachment 1651527