Hapa kazi tubig up my motherland
Hii stendi itakua ya nguvu meanwhile tusubiri updates za BRT kutoka kwa majirani wetu![]()
hee! kwan hii stand na uwanja wa mpira vinajengwa wap? nasikia march 2021 ianze kutumika
Kituo cha daladala Mwenge kuanza kutumika Machi 2021
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Aboubakar Kunenge ameitaka Manispaa ya Kinondoni na mkandarasi kutoka JKT kuhakikisha ujenzi wa kituo cha daladala Mwenge na maduka 126 vinakamilika kabla ya February 28 na kuanza kutumika Machi Mosi 2021 ili kiweze kutoa huduma kwa wananchi kama ilivyokusudiwa...
swahilitimes.co.tz
big up my motherland 







