Hapana ameshatupa report 🤣🤣🤣Kumbe mnafuatilia😂😂😂
Hapana ameshatupa report 🤣🤣🤣Kumbe mnafuatilia😂😂😂
it explains alotHilo ni taifa la hovyo sana kuwahi kutokea juu ya uso wa Dunia na custodian yuko hapo hapo akisikia na ku support wananch wake wakipigwa mkwara
Ishara kwamba mnaumia. At least Geza Ulole Hana unafiki. Anakubali ukweli kwamba mmeumia.😂😂Hapana ameshatupa report 🤣🤣🤣
Yaani tukikosa ku host AFCON 2027 lawama zote wabebeshwe Kenya. Issue iko hivi: Government of Tz na UGx wanatumia hela zao kuweka mazingira ya AFCON sawa ila Kenya serikali haitumii hela yake inategemea Private sector ndio waweke mazingira njia ambayo inachukua muda mrefu wakati project yenyewe ina specific timeframeyaaani natamani sana kumjua aliewaweka kwenye bid, ametukosea sana
You can an investor, tell him to invest in another country, then talk back to him after being denied and now congratulations on you knockout 🤣🤣🤣 meanwhile kula chuma ichowewe boss.wacha kujiwaza...hapa tuliwapiga knock out hatarii...
Original founders wa hii BID ni tanzania and uganda, i really want to know who added bungoma, maana this is embarrassing toka CHAN wao tu kusumbuaYaani tukikosa ku host AFCON 2027 lawama zote wabebeshwe Kenya. Issue iko hivi: Government of Tz na UGx wanatumia hela zao kuweka mazingira ya AFCON sawa ila Kenya serikali haitumii hela yake inategemea Private sector ndio waweke mazingira njia ambayo inachukua muda mrefu wakati project yenyewe ina specific timeframe
You can an investor, tell him to invest in another country, then talk back to him after being denied and now congratulations on you knockout 🤣🤣🤣 meanwhile kula chuma icho
View: https://x.com/Wanjiru2027/status/2105273061905670380?s=20
mwaiofhawaii its your time to defend KDF
View: https://x.com/Kimuzi_/status/2105275012592644429?s=20
its a private business what are you expecting
View: https://x.com/patchtvkenya/status/2105265630714671602?s=20
Since when? yaani mtangaze wenyewe refinery kwenda tanga alafu baadae mtangaze lamu alfu mje mseme we are fun of nani 🤣 🤣 🤣 🤣You used to be a big fan of Dangote when Tanga was on the table .. what changed?..🤣🤣🤣🤣
These bombers znajulikana and you cant compare them with f5 which were used when soldiers wore shortsThis why I call you illiterate. You demonstrate it on a daily basis . Forget 1976 , hereby is a 1946 Bomber still in use today . Unfortunately you can’t comprehend what avionics upgrades mean… a bomber or fighter jet is not gauged by the body frame but by its operating systems.
View attachment 3681143
You seriously cannot depend on them for anything, wako kama kinyonga mwanzoni wanakupa good appearance, sweet-talking, lakini later on wanabadilika na hata aibu huwa hawaoni. Tumeona hii tabia kwenye vitu vingi sana: Mombasa Port (Uganda and Rwanda), Kenya Pipeline Limited (Uganda and Rwanda), Government-to-Government Petroleum Deal (Uganda and Rwanda) the list is long. Ukiwa a good neighbour especially with a sea port it is your responsibility to provide stability to your neighbours who depends on you for logistics ila hawa nyangau ni kuwanyonya zaidi ndicho wanachojua halafu wakichukiwa wanasema wanaonewa. The same applies kwa AFCON ukiwasikia wanataka ku host opening and finals wao tuu.Original founders wa hii BID ni tanzania and uganda, i really want to know who added bungoma, maana this is embarrassing toka CHAN wao tu kusumbua