Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kawaida yao hao, wakishindwa huwa ukimbilia kwenye English language
Wakenya ni takataka kabisa ukanda huu, wanadhani kujua kingereza ndo kuelewa mambo, ingekuwa hvyo China isingefanikiwa ktk economic revolution.

Kwa upupu walio nao kichwani now wanasubiri majaribio ya chanjo ya corona yafanyike kwao ili binadamu wajue km inatibu au ni sumu [emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji2][emoji2]
 
True but JKiA ni Hub kubwa..but who benefits most from Toursit revenues 2.5$bilion vs 1.5$billion[emoji23] [emoji23]
Thanks for accepting that JKIA ni hub ya East Africa[emoji23][emoji23]
 
Actually it's 20km[emoji23][emoji23][emoji23], 5km from JKIA to Syiokimau and then 15km from Syiokimau to CBD. Najua huna akili ya kufahamu hiyo[emoji23]
Ile 15 ni marekebisho reli ipo 🤣🤣🤣 inayojengwa mpya ni 5 km hata hio unataka kunidanganya mm🤣🤣🤣 au nasema urongoooo
 
Kwani hayo marekebisho yatafanywa bure? This kind of reasoning is the reason I usually call you a warthog[emoji23][emoji23]
Ile 15 ni marekebisho reli ipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inayojengwa mpya ni 5 km hata hio unataka kunidanganya mm[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
While you depend on food donation, Nairobi there is water shortage, unemployment rate is sky rocketing, slums and corruption[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia Kenya ndio Taifa la Africa mashariki linaloongoza kwa importation, wanaimport chakula kutoka nje na mafuta mazito ya kuzalisha umeme wakati Tanzania haimport kwa wingi wala mafuta mazito kutokana na kutumia natural gas

Zaidi ya 90% ya mzigo wote unaishia Kenya ,wakati Tanzania zaidi ya 60% ni in transit.
 
Kwani hayo marekebisho yatafanywa bure? This kind of reasoning is the reason I usually call you a warthog[emoji23][emoji23]
Ile 15 ni marekebisho reli ipo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] inayojengwa mpya ni 5 km hata hio unataka kunidanganya mm[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom