Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

upo top 4...
njoo uchukue medan yako ya mbao tumekuwekea
Screenshot_20201215-161111_2.jpg
 
That doesn't matter. Siku zote Mnatuambia kwamba SGR mnajenga na oesa ya ndani, na kwamba hamjokopa hata shilingi!
Wivu unaruhusiwa, lakini usizidi kipimo. SGR from Dar to Morogoro by 100% ni pesa yetu, hakuna sehemu tumekopa, it is $1.2B. Huko mbele tukipata mkopo tutachukua, tukikosa tutaendelea kujenga kwa pesa yetu, hatuwezi kusimamisha ujenzi kama ninyi mlivyoshindwa
 
Tatizo lenu ninyi wakenya mnapenda sifa za kijinga, hamtaki kukubali ukweli. Huyo aliwefungua huo Uzi lengo lake ni kuonyesha kwamba, katika mwaka 2019/20 Tanzania ni nchi pekee ambayo FDI zimeshuka, yeye hakuzungumzia miaka ya nyuma au jumla ya FDI zote za nyuma, vipi ninyi wakenya mnajumlisha Jobs zilizotenfenezwa na FDI zote badala ya za mwaka huu pekee ambao FDI za Tanzania zimeshuka?.

Mimi nimeonyesha kwamba, pamoja na FDI za Tanzania 2019/20 kushuka, lakini imetengebeza ajira nyingi kuliko Kenya ambako zimepanda(2019/20), mlipogundua muneshindwa katika hilo, mkaaza kuingiza total jobs created by FDI badala ya mwaka huu pekee ambao Tanzania ndio imeshuka.
kizungu bado inakupiga chenga, Kama ilivyo Lawanda yenu. That report was not comparing the total number of jobs created through FDIs in several years. It was comparing data za 2018 vs alone and borrowed down on the number of jobs created by FDIS against the TOTAL NUMBER OF JOBS created in the whole country in that specific year which in this case is 2019.

Secondly, younnned to look at the areas where these jobs were created, and the impact it has on the economy. In Kenya, majority of these jobs were in the areas of Information, communication and technology. These are areas that need skilled labourfoce. You can't work in an IT sector if you are not an expert in the same. In Uganda for instance, jobs were created mainly in power, dams and roads. Do you need every person who works in a road project to be a road ingeneer? The answer is no. The same can't be said about ICT where Kenya created more jobs
 
tumia akili.. Rais wa China ndo kampigia JPM. JPM kapokea, hajapiga
na uzuri hata kama wameongelea mkopo, yeye JPM ndo anafatwa.. sio nyinyi mnalialia hadi mnamfuata mchina kwake
Hizo excuses zako za kijinga peleka kwa choo, kwani ulikuwa hapo wakiongea na simu ukaona kama rais wa China ndio alipiga? Ama Magufuli alimtumia ujumbe ya "please call me" ?,
 
Wivu unaruhusiwa, lakini usizidi kipimo. SGR from Dar to Morogoro by 100% ni pesa yetu, hakuna sehemu tumekopa, it is $1.2B. Huko mbele tukipata mkopo tutachukua, tukikosa tutaendelea kujenga kwa pesa yetu, hatuwezi kusimamisha ujenzi kama ninyi mlivyoshindwa
Denial is in your blood. Hilo tunalijua
Sisiemu itawadanganya hadi lini?

tumia akili.. Rais wa China ndo kampigia JPM. JPM kapokea, hajapiga
na uzuri hata kama wameongelea mkopo, yeye JPM ndo anafatwa.. sio nyinyi mnalialia hadi mnamfuata mchina kwake
Hizo excuses zako za kijinga peleka kwa choo, kwani ulikuwa hapo wakiongea na simu ukaona kama rais wa China ndio alipiga? Ama Magufuli alimtumia ujumbe wa "please call me" ?,
 
imagine hajamfata ni simu imetumika,angekuwa yule msela wa harambee saa hii angekuwa china anakunywa supu ya mende.

ndio maana nikasema tofauti ya mkenya na mtz ni moja tu,matumizi sahihi ya akili,wakati harambee ikizidi kukopa mikopo na kuweka wakenya wote kama dhamana,sisi tunapiga watu kishwahili wanatoa pesa.
Uhuru huenda kw ajili ya trade deals, kibwengo jiwe kaona mambo yamekua magumu sasa inabidi ukope tu
 
Denial is in your blood. Hilo tunalijua
Sisiemu itawadanganya hadi lini?

Hawa watu ni wapumbavu sana, yani serikali yao inawadanganya kama watoto
 
Denial is in your blood. Hilo tunalijua
Sisiemu itawadanganya hadi lini?

Standard chartered wametoa pesa kwa ajili ya phase 2 na nyingine imetolewa na serekali
Phase two jumla ni 1.9b usd
Standard charterd wametoa 1.4b na serekali wamemalizia 0.5b usd wapi hujaelewa na remb that is phase two and not one 🤣🤣
 
kizungu bado inakupiga chenga, Kama ilivyo Lawanda yenu. That report was not comparing the total number of jobs created through FDIs in several years. It was comparing data za 2018 vs alone and borrowed down on the number of jobs created by FDIS against the TOTAL NUMBER OF JOBS created in the whole country in that specific year which in this case is 2019.

Secondly, younnned to look at the areas where these jobs were created, and the impact it has on the economy. In Kenya, majority of these jobs were in the areas of Information, communication and technology. These are areas that need skilled labourfoce. You can't work in an IT sector if you are not an expert in the same. In Uganda for instance, jobs were created mainly in power, dams and roads. Do you need every person who works in a road project to be a road ingeneer? The answer is no. The same can't be said about ICT where Kenya created more jobs
usipende kupoteza mda hata kama hauna kazi inayokuingizia kipato ni bora ...
utoke nnje ukazurure uhuru garden labda unaweza ukapata hata 1dollar ya kumtembeza mzungu kibera
20201216_125302.jpg
20201216_125235.jpg
 
Back
Top Bottom