Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afadhali ukakubali km jiwe kapigiwa ili akope[emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
wee ni mjinga,

rais wa taifa la pili kwa uchumi duniani ampigie simu jiwe ili jiwe akope!!!!

but hata kama ni hivyo badala ya kubeza unatakiwa ushangae,ni kwa vipi uhuru anazurula kukopa wakati magufuli anapigiwa simu akiwa ghetto ili akope!!!
 
Unategemea nini kwenye Taifa lenye 90% slums, 70% unemployed, 90% desert [emoji28][emoji28][emoji28]
Tatizo mkulu analiwaza sana hilo taifa[emoji1787][emoji1787]
Ndoto yake ni ku overtake hilo hilo taifa maskini
 
Nyinyi hata hamna uwezo wa kutoa renders[emoji23][emoji23], yani nchi imekuwa maskini kweli kweli[emoji1787][emoji1787]
Tangu upewe tunzo ya kuwa mkenya namba 1 mpumbavu humu basi ndo umezd kuwehuka wallahi [emoji3][emoji2][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
wee ni mjinga,

rais wa taifa la pili kwa uchumi duniani ampigie simu jiwe ili jiwe akope!!!!

but hata kama ni hivyo badala ya kubeza unatakiwa ushangae,ni kwa vipi uhuru anazurula kukopa wakati magufuli anapigiwa simu akiwa ghetto ili akope!!!
Mbona unataka kufanya mada iwe ndefeu sana, wakati tumeshakubalian km jiwe kapigiwa simu kusudi ili akope..
 
Hizo excuses zako za kijinga peleka kwa choo,[emoji23][emoji23][emoji23] kwani ulikuwa hapo wakiongea na simu ukaona kama rais wa China ndio alipiga? Ama Magufuli alimtumia ujumbe ya "please call me" ?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23],
Ona hii nyani ilivyowehuka [emoji3516][emoji3516][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
 
Hapa kazi tu💪big up my motherland 🇹🇿
Hii stendi itakua ya nguvu meanwhile tusubiri updates za BRT kutoka kwa majirani wetu 🙂
 

Attachments

  • swahilitimes-photo-2020_12_16_18_00.jpg
    swahilitimes-photo-2020_12_16_18_00.jpg
    121.3 KB · Views: 13
And how big is the lot for a 62000 SQM LBD!? Maana hiyo if its the main building unazungumzia close to 15 acres of space.. let's say it's about 12 football pitches..

Nieleweshe Hii huwa mnapikaaa!? Au mnasema kweli!? If so how big is the foot print and how many floors does it have!?

Au mahesabu na gardens na footpaths, ponds na parking kwenye hii 62k SQM!?
Me nishawaambiaga hawa watu mall zao hadi parking wanahesabu ndo mana huwa sideal nao yani mlimani ukuhesabu eneo lote including parking na maeneo yote ya mlimani city basi tutakua na lagest mall in Africa.
 
Back
Top Bottom