Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Gani kubwa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Ata ulete picha ishirini Tanzania bado itabaki kuwa the poverty Capital of East Africa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
tapatalk_1605970655461.jpeg
 
Ebu tuambie ni nchi gani watu wamekufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu tuonyeshe picha[emoji23][emoji23][emoji23]
Nchi gani kule wanakufa kwa njaa na kulala ndani ya mabanda ya Nguruwe?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
unalolote we ushazoea kukanyagwa nyuma....

mimi huwa siwafanyii hayo mambo huwa nakanyaga hapo kulipo halarishwa,uko nyuma mtafute meingine ndiyo akukanyage mi umenikosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
👇👇
Screenshot_20201215-161111_1.jpg
 
huwa nakuambiaga ,,yaan wewe hautoshi mboga bado mature sana ,,,huwa unaongea usivyojua na kila siku huwa unaumbuka

jibu lako hilo hapo,,,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 1651489
Hahahaha ndio maana nimemuambia aseme ni phase ipi. Sababu najua afdb watadeal na phase ya Isaka to Kigali which is not yet realized 😅😅😅

Yaani wapo desperately na hizi bullet trains zetu kichizi 😅😅
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana akiambiwa alete source anakimbia ila wameumia sana hawa jamaaa
sana yaani pesa ndogo kama hiyo ambayo nchi ikiamua kukusanya na kuwekeza kwenye miradi ya msingi ,,,
kumbe kwa kenya ni mapesa mengi sana kiasi cha kwamba hawa mungiki hawaelewi mpaka sasa wanajiuliza kuwa Tz imewezaje...

nimegundua kuwa wakenya wapo empty sana si kidogo,,,,yes/no kidogo ndiyo wanachokisujudia mbali na hapo ni vichwa box
 
Gani kubwa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Ata ulete picha ishirini Tanzania bado itabaki kuwa the poverty Capital of East Africa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1651492
hii habari yako unaelekea mwaka wa pili sasa bado akili yako inawazia hapo tu,,,

hii ni 2020 tunaelekea 2021...

tz now ipo uchumi wa kati,,,habari za umaskini ongeeni na wale ndugu zenu wanaolala chini ya madaraja ....na kwenye mitaro
 
Hahahaha ndio maana nimemuambia aseme ni phase ipi. Sababu najua afdb watadeal na phase ya Isaka to Kigali which is not yet realized [emoji28][emoji28][emoji28]

Yaani wapo desperately na hizi bullet trains zetu kichizi [emoji28][emoji28]
si kwamba hawajui peke yakee huyo kunguru ni zaidi ya kutojua yeye kazi yake ni kuokota jambo na kulazimisha lifanane na kenya matokeo yake huwa anaishia kuumbuka tu
 
hii habari yako unaelekea mwaka wa pili sasa bado akili yako inawazia hapo tu,,,

hii ni 2020 tunaelekea 2021...

tz now ipo uchumi wa kati,,,habari za umaskini ongeeni na wale ndugu zenu wanaolala chini ya madaraja ....na kwenye mitaro
I can feel your pain[emoji23][emoji23][emoji23], hii ni habari ya 17th October, 2020[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]
tapatalk_1605970655461.jpeg
 
Back
Top Bottom