Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ebu tuonyeshe hiyo ripoti tucheke[emoji23][emoji23]
Wanachekesha sana kwakweli, yn ile report ya Tz kuongoza kwa matumizi ya pesa ktk miradi ukanda huu wameamua kuachana nayo wanaenda na report ya vichwani mwao, eti Kenya iongoze ukanda huu kwa thamani ya miradi EA, over my dead body [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Unadhani Kenya ni maskini kama Tanzania yenye ilijenga gorofa tatu ikaishiwa pesa?[emoji23][emoji23].
Wanajenga vighorofa vi3 wanasema wamekua construction site [emoji616][emoji62][emoji23][emoji23]
 
Kanchi kutoka north kalienda huko kulialia kapewe mikopo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mpka ya kujenga km5 ya rail aise[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Heri mikopo ya $140m kuliko msaada ya $35m[emoji23][emoji23][emoji23]. Yani hadi pesa kidogo kama $35m hamuezipata?[emoji23][emoji23]


 
Vichwa vibovu hawa, English being their major (lame) excuse.
Haelewi kwamba jobs created through FDI kwa Tanzania ni kubwa sana, provided the FDI grew in -ve direction.
Na mada ilikuwa ni FDI..kuhusu Data Za Goverment na Goverment Backed Projects tunasubir
 
Na mada ilikuwa ni FDI..kuhusu Data Za Goverment na Goverment Backed Projects tunasubir
Should I tell one fact from data za government?[emoji23][emoji23][emoji23]


JKIA -8.3m passengers in 2019.
All Tanzanian airports-5.5m
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mna habari BRT Phase III WB wamezuia fedha?
screenshot_20201209-202915-png.854268
 
kwani kenya unajua hata budget yenu huwa inapigwa boost kati kati ya mwaka[emoji38][emoji38][emoji38].

kifupi huwa mnatangulia stand nauli wanazo wazungu.
Maybe kwa ndoto yako[emoji23][emoji23]
 
Please anzisha uzi wa jkia tutakuja kuchangia, but the issue at hand is FDI vs employment.
Should I tell you another fact?[emoji23][emoji23][emoji23]

Mombasa port -34 tonnes
All Tanzanian ports- 17 tonnes.
 
No wonder 50% of your budget is funded by donations and grants[emoji23][emoji23][emoji23]
Tanzania ndio nchi pekee hapa EA ambayo bajeti yake inajitegemea by 97%, Kenya bajeti yenu inategemea misaada by almost 18%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tanzania ndio nchi pekee hapa EA ambayo bajeti yake inajitegemea by 97%, Kenya bajeti yenu inategemea misaada by almost 18%[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks for talking like a class six dropout[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom