Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa si ni kweli kwamba kenya kuna county roads na barabara za national government
Sikuliza wewe, Kenya ni huo mkusanyiko wa hayo majimbo, bila hayo majimbo hakuna Kenya, jukumu la kuendeleza Kenya yote ndio jukumu la GoK chini ya Uhuru Kenyatta, hao wengine wanamsaidia Uhuru.

Hii tabia yenu ys kutuambia habari za majimbo kukwepesha udhahifu wa GoK hatutaki kurudia, Marekani ina majimbo, lakini lawama zote za uchumi kuzorota anarushiwa Trump, wacha ukabila, kwanini mnapenda sana "separatism?"
 
Kwani unadhani Tz hatuna existing HEP Dams?
Hata hiyo Reli ya wachina wameijenga nchini kwenu na kwa pesa, design, technology, materials zao 100% sisi huku tulishajenga tangu 1970s inaunganisha Dar Port na Zambia, kwaiyo tuseme Kenya imeiga Tz sio, maana the technology is the same, mabehewa na kila kitu, only small difference on the width,
Kuhusu Madaraja hamtakaa muifikie Tz, na bado tunazidi kujenga across oceans and lakes kwa pesa zetu, Kenya hata mishahara ya Kulipa wafanyakazi inakopa,
Kuhusu Stadia we are at different leagues, and you know it, Hilo Gofu la Karasani ni equivalent to CCM kirumba Mwanza, hata haufikii ule wa Z'bar,
Kimsingi Tz haina cha Kujifunza Kenya,
Labda Kenya ijifunze mambo kama BRT, rural electrification, Water services supply, maana hata Nairobi maji ni issue, Mjifunze pia kuwa taifa huru na muachane na siasa za kizamani ukabila.
Juzi niliona clip za nyali sijui nyayo stadium nikachaka sana yana haufikii hata azam complex labda kama ule wa dodoma jamuhuri.
 
Ours is 12 lanes wakati yenu ni 6 lanes[emoji23][emoji23]
leta tofauti na yenyu si unakenua tu! tofauti ipo wapi?

EiKwW8FXcAUb2oh


DUynZxqW0AALNxK
 
Kibaha highway inajengwa na Tanzanian company ESTIM nyie mnajengewa na wachina projects zenu zote, miaka michache ijayo kampuni yetu itazidi kuwa more efficient so tumefika hapa kwa ss[emoji3][emoji3][emoji3]
No wonder that kibaka highway looks ugly[emoji23][emoji23]
 
Do you know the meaning of inclusivity?[emoji23][emoji23][emoji23] How can you have 50% of the population in extreme poverty and only 0.00073% in millionaires category and yet you claim that your economy is inclusive?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]
Tuko mbele ya Kenya mda mrefu, facts [emoji116][emoji116]

Tunajitosheleza kwa chakula

Tuna matajiri wengi (Uganda+Kenya+Rwanda+Burundi) na bado hamtufikii

Uchumi wetu ni more inclusive in EA

Tunajenga baadhi ya miradi kwa pesa ya ndani

Hatuna slums

Tunajenga miradi ya kisasa zaidi kuliko nchi yoyote EA, n.k.
 
Superhighway superhighway ushuzi wa komora, sisi tunajenga kulingana na mahitaji ya sasa na yajayo. tungetaka maonyesho tungeweka mbwembwe za kila aina na hapo inaendelezwa hadi chalinze then dual inafatia mpaka Dodoma. Najua hupendi ila itabidi tu ukubaliane na hali maana hamna namna nyingine 😀
Kama mnajenga kulingana na mahitaji yenu basi mbona mnailinganisha na Thika?[emoji23][emoji23]
 
Sasa standard ya maisha inakuaje bora kama hamna
1)Chakula
2)Maji
3)Amani
4)Afya
5)Makazi bora
6)Ajira
7) Kuna rushwa iliyopitiliza
8)Kuna mashambulizi ya kigaidi
Hiyo higher standard of living unaipima kutokea Kibera au Korogojo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Are you aware that Tanzania is leading exporter of terrorists in Africa?[emoji23][emoji23][emoji23]

 
Back
Top Bottom