Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Unayafahamu maeneo ya Kileleshwa?
Hapana, siyafahamu .
Unayafahamu maeneo ya Kileleshwa?
Unafikiria thika walifanya kulima na kupaka rangi tu[emoji23][emoji23]Hii! hivi unajielewa wewe, kwa akili yako unaona thika ni bora kuliko hii? au ndio unafananisha kitu ambacho hakijaisha.
Nimekwambia hii inakidhi mahitaji ya sasa na baadae, mfano nioneshe sehemu itakapopita BRT thika:
Hii ni Morogoro road:
View attachment 1648794
na hii ni thika:
View attachment 1648799
Vipi Tanzania kuipita Kenya, South Africa na Nigeria katika Economic growth rate?, lakini uchumi wake bado ni mdogo?Sasa nyinyi mtaongoza vipi kwenye electrification rate ilhali kuna nchi kadhaa hapa Afrika ambazo zina higher electrification rate kuwashinda? Ama pengine huelewi maana ya electrification rate. Sitashangaa ikiwa huelewi tunachozungumzia.
Hahaha!!muonee huruma huyo,Sasa nyinyi mtaongoza vipi kwenye electrification rate ilhali kuna nchi kadhaa hapa Afrika ambazo zina higher electrification rate kuwashinda? Ama pengine huelewi maana ya electrification rate. Sitashangaa ikiwa huelewi tunachozungumzia.
Haijalishi bora umekubali kuwa kuna sehemu ambalo litafloat na kujifungua na kujifunga, mimi shida.Kwaiyo itakua floating gate au floating bridge,
By the way kwajinsi nimeona iyo gate sioni kama ipo kama render naona kama ni kudanganywa mumezoe lakini tusubiri iishe tuone
Ndio ukumbuke pia hicho chakula inachonunua haigawi bureat all sikuwa nimetaja uzalishaji wa chakula kenya bado,una haraka sana.
pamoja na majibu yako nimeyapokea,na nauliza kwa kufuata jibu lako sasa,mnazalisha pesa zaidi kupitia mazao ya biashara halafu mnanunua chakula kwa majirani,
ni sababu ipi inasababisha baadhi ya jamii kenya kukosa kabisa chakula!!!!
pesa ya kununua chakula haitoshi??,au chakula cha kununua hakipo??
kumbuka tu,nchi yoyote inayoingiza bidhaa chakula,ndio nchi dhaifu kabisa.ndio sababu uliona msuguano wakati wa corona kenya ikaonyesha udhaifu mkubwa kabisa.
serikali yenu inauza chakula kwa wananchi wake au unamaanisha!!!!Ndio ukumbuke pia hicho chakula inachonunua haigawi bure
Kwhyo wewe ndio msemaje wa mauritius sio ya kwamba hawana remote areas, ikiwa km marekani na uingereza tu wanazo itakuja mauritiusSerikali inayodanganya raia ni serikali mfu.
Kama ya uhuru.
Tanzania serikali haijatudanganya specially kweny swala la electrification kitu Tz inaongoza ni supply in rural areas ambapo tumewapita Nigeria,
South Africa hawana iyo 97% bali iyo ni projection yao 2025.
Seyshells hakuna rural bahati mzuri me nimefika kule, ni kama wilaya moja ya tanzania na imeendelea nchi nzima wale ni level ya europe.. na population ndogo yenye 50% wazungu.
The same to mouritius pia kule kuna wahindi na hawana rural. rural za mouritius ni town kenya altough hawana highrise building lakini miji yao yote ni mizuri na inampangilio mzuri..
Speaking of rural electricity distribution hakuna kama Tz. Hata ukija ground utaprove mwenyewe.
Wananchi vijijini hawapaswi kununua chakula, hasa kile chakula kikuu, ni sawa na mfugaji kununua maziwa, Kenya ilipaswa kutengeneza mazingira ya wananchi kule vijijini kuzalisha chakula chao kwa wingi kwa kuwajengea mifumo ya umwagiliaji katika sehemu kame.Hao wanaoumia kwa njaa wametelekezwa na serikali. Lakini sio kwamba hakuna chakula cha kutosha. Mbona mimi huwa nanunua chakula kila siku bila tatizo? Halafu hao wanaoumia kwa njaa ni wale Wakenya masikini ambao hawajiwezi kabisa. Halafu wanaishi katika maeneo kame ambapo hawawezi kupanda mimea. Ukumbuke 75% ya Kenya ni kame na 0% ya Tanzania ni kame. Ni jukumu la serikali kuwasaidia ila serikali saa zingine huwa inawatelekeza.
Basi jibu picha usimjibu yeye. Unaweza kuhesabu jets ngapi hapo? Jaribu kuwa mkweli.Kuna watu huwa wala sijisumbui kuwajibu, mtu ambaye hadi leo bado anajua kwamba Tanzania ni LDC, kweli kuna sababu ya kumjibu?
Jamaa mi hunishangaza, utakuta vyombo vya habari vinatangaza njaa kali kenya na wakati ukienda sokoni vitu vyote vipo..Hao wanaoumia kwa njaa wametelekezwa na serikali. Lakini sio kwamba hakuna chakula cha kutosha. Mbona mimi huwa nanunua chakula kila siku bila tatizo? Halafu hao wanaoumia kwa njaa ni wale Wakenya masikini ambao hawajiwezi kabisa. Halafu wanaishi katika maeneo kame ambapo hawawezi kupanda mimea. Ukumbuke 75% ya Kenya ni kame na 0% ya Tanzania ni kame. Ni jukumu la serikali kuwasaidia ila serikali saa zingine huwa inawatelekeza.
Emu yenu huaga inakifanyaje chakuka chake[emoji848]serikali yenu inauza chakula kwa wananchi wake au unamaanisha!!!!
Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.Lkn hiyo uliyopost siyo middle class ya Nairobu au ?
Hayo ndio maeneo ya upper middle class. Lakini kama huyafahamu basi kuna maeneo mengi tu ambayo yanaweza kuwa classified kama upper middle class na pia kuna lower middle class.Hapana, siyafahamu .
Unaongelea vijiji gani hvo, au unamaanisha yale maeneo kame ya wafugaji ambao hata ukulima hawajui ni nnWananchi vijijini hawapaswi kununua chakula, hasa kile chakula kikuu, ni sawa na mfugaji kununua maziwa, Kenya ilipaswa kutengeneza mazingira ya wananchi kule vijijini kuzalisha chakula chao kwa wingi kwa kuwajengea mifumo ya umwagiliaji katika sehemu kame.
sasa ndiyo mjue kuwa ni vitu vingi sana huwa mnabisha hapa pasipo kujua....Ni sawa nimeona zinaenda Uganda. Tofauti yangu na wewe ni kwamba nikikosea jambo nakubali haraka sana bila kung'ang'ania jambo ambalo sio la kweli kama wewe.
![]()
Tanzania: Atcl Now Resumes, Adds More Regional Destinations
FOLLOWING a decline in Covid-19 cases, the national airline career, Air Tanzania Company Limited (ATCL), resumed flights to Entebbe in Uganda and Lusaka (Zambia) via Harare in Zimbabwe.allafrica.com
Umeanza kubwabwaja 😁 kumbe kila mara wanaziba cracks na potholesUnafikiria thika walifanya kulima na kupaka rangi tu[emoji23][emoji23]
Ujue tangia itengezwe haina shimo wala matatizo yyte alafu uje ulinganishe na kibaka ambayo wamefanya kulima lima mchanaga tu
Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.
Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .
ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone
Tena umekisoma ulichokileta [emoji23]Umeanza kubwabwaja [emoji16] kumbe kila mara wanaziba cracks na potholes
View attachment 1648811![]()
High death toll on Thika Superhighway worrying govt
“Kenyans are some of the most reckless drivers. You wonder where they went to school for driving.”nairobinews.nation.co.ke
Sio eti hakuna, wanaogopaHapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.
Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .
ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone