Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hayo sio maoni yangu bali ni data kutoka world bank. Nyie mna masikini wengi kutushinda mpende msipende.
Tafuta Tanzania nzima ukikuta maskini km hawa wenye familia zao kwenye flyover nitag [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
JamiiForums2120786973.jpg
JamiiForums901181976.jpg
JamiiForums-482878275.jpg
 
Utajua ujui, baki na economic indicator huku watanzania tunakula matunda ya nchi yetu ya ahadi, cc tunapenda mambo kwa ground and not on paper.
Unasema hivyo kwa sababu unajua vizuri kwamba tunawachapa bila huruma kwenye economic indicators karibu zote kuanzia Gdp hadi Gdp per capita hadi Gni per capita hadi HDI index.
 
Wao na nyie kuja kwetu ni economically viable ila sisi kuja kwenu haina faida.
Kwa hivyo afadhali ndege zenu mlizonunua kwa tens of millions of dollars afadhali ziendelee kupata kutu ndani ya hangar kushinda kutumika ili kurudisha pesa iliyotumika kuzinunua?
 
Unasema hivyo kwa sababu unajua vizuri kwamba tunawachapa bila huruma kwenye economic indicators karibu zote kuanzia Gdp hadi Gdp per capita hadi Gni per capita hadi HDI index.
Ina faida gani ss wakati mpk leo mna njaa, mnashindwa kujenga miradi, social amenities mbovu, ilihali mna watu wachache zaidi ya sisi tunaojitosheleza.
 
Kwa hivyo afadhali ndege zenu mlizonunua kwa tens of millions of dollars afadhali ziendelee kupata kutu ndani ya hangar kushinda kutumika ili kurudisha pesa iliyotumika kuzinunua?
Kwahyo duniani hapa nchi ni mbili tu au sio [emoji3][emoji3]
 
Kwa hivyo afadhali ndege zenu mlizonunua kwa tens of millions of dollars afadhali ziendelee kupata kutu ndani ya hangar kushinda kutumika ili kurudisha pesa iliyotumika kuzinunua?
Tanzania soko la usafiri wa ndege ni kubwa mno, watu wanapanda sn ndege, kuhusu kuja huko kwenu subiri tuongeze ndege zen tunakuja cz zilizo kuwepo zinapiga route za ndani na hazitoshi.
 
Hata wewe kwenye hii comment yako umekubali kuwa Kenya kumejengwa kushinda Tanzania. Angalau wewe umefika Kenya umejionea kwa macho yako. Tatizo ni kuwa Malazy wengi hawajawahi kufika Kenya ndio maana hawaelewi kuwa Kenya ipo ligi nyingine tofauti. Waeleze ndugu zako akina The best 007 ili waelewe.
Jirani Sisi ujenzi wetu Una mpangilio tunajenga tukiangalia future na hatutegemei capital city Sisi si kama nyie tuna miradi mikubwa from mkoa to mkoa Tanzania sio level yenu😏
 
Kibaha highway inajengwa na Tanzanian company ESTIM nyie mnajengewa na wachina projects zenu zote, miaka michache ijayo kampuni yetu itazidi kuwa more efficient so tumefika hapa kwa ss[emoji3][emoji3][emoji3]
Ohhhh,,was wondering,,how comes Chinese wajenge juakali style roads,,now I Know 🤣👏
 
Huwa nawambia ubabe ni swala la muda,na dharau zina mwisho wake tena naomba waendele na uongozi walio nao sahivi 😂😂😂😂
Yah am praying 🙏 that too,uongozi ya construction every where, peace to everyone,and I know with this our future is bright
 
Back
Top Bottom