The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Tuko mbele ya Kenya mda mrefu, facts [emoji116][emoji116]Bro endelea kuota kwamba nyinyi mtakuja kupita Kenya.
Tunajitosheleza kwa chakula
Tuna matajiri wengi (Uganda+Kenya+Rwanda+Burundi) na bado hamtufikii
Uchumi wetu ni more inclusive in EA
Tunajenga baadhi ya miradi kwa pesa ya ndani
Hatuna slums
Tunajenga miradi ya kisasa zaidi kuliko nchi yoyote EA, n.k.