Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Growth rate ni ukuaji wa uchumi wenu na nakumbuka vizuri lecturer akituelezea vizuri maana ya economic growth rate akitumia mfano huu. Wewe unaweka Tsh 10,000 kwa savings account ya benki na benki inakuambia kuwa itakulipa 10% interest kila mwaka. Halafu jirani yako anaweka Tsh 100,000 kwa benki hio hio na anaambiwa kuwa yeye atakuwa akilipwa interest ya 5% kila mwaka. Sasa mwishoni mwa mwaka unadhani ni nani atalipwa pesa nyingi na benki hio? Wewe au jirani yako?
Wewe: 10,000×0.1 = 1,000
Jirani: 100,000×0.05 = 5,000.
Jirani yako atalipwa interest kubwa kukushinda japo wewe ulipewa interest rate ya juu kumshinda. Kama bado hujaelewa then siwezi kukusaidia zaidi ya hapo.
Hahahaha, upo nje ya point kama kawaida yako.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nairobi terminus lkn moja ina zege alafu wakabandika vioo[emoji23][emoji23]
Moja ya kazi ngumu kwenye thread hii ni kubadilisha mawazo yako Komora unayoamini ila ngoja nijaribu, hamna kinachofanana hapo + hyo bus terminal ni kubwa na ina hihusisha viti vingi sana humo ndani.. labda nikuukize kitu Your terminus kazi zake ni nini?
 
Hii! hivi unajielewa wewe, kwa akili yako unaona thika ni bora kuliko hii? au ndio unafananisha kitu ambacho hakijaisha.
Nimekwambia hii inakidhi mahitaji ya sasa na baadae, mfano nioneshe sehemu itakapopita BRT thika:
Hii ni Morogoro road:
View attachment 1648794
na hii ni thika:
View attachment 1648799
those outer lanes r service lanes n Kibaha highway will have that in major intersections! Actually not poor feeder lanes like Thika highway!
 
Moja ya kazi ngumu kwenye thread hii ni kubadilisha mawazo yako Komora unayoamini ila ngoja nijaribu, hamna kinachofanana hapo + hyo bus terminal ni kubwa na ina hihusisha viti vingi sana humo ndani.. labda nikuukize kitu Your terminus kazi zake ni nini?
Kwn kukubali mumekopi design mtakufa
 
ushahidi wa kupeleka mahindi[emoji23][emoji23].

wee umelewa aisee
Mbna kdf ushahidi mpka leo upo km walipeleka msaada

Ninachokumbuka kasema yeye hakuleta majanga, kwhyo watu wapige kazi hakuna vitu vya bure siku hizi[emoji23][emoji23]
 
watanzania, huyu jamaa ni wa humuhumu [emoji23][emoji23] kajiunga tar 7 mwezi wa 12.. na replies zake zote ziko kwenye hii thread [emoji23][emoji23].. asiwababaishe!
Upelelezi wako hapo kidogo umenoa. Mimi ni mgeni hapa jamii forum.
 
Kipi hapo hatuna, tulijenga kitambo vitu vyote hvo.
Sijui nn madaraja na mabwawa ya umeme kenya tulijenga 80s nyie mumeanza kujenga bridge, stadium na airport 21st century basi mnajikuta nyinyi ndio mumeanza[emoji23][emoji23][emoji23]

Narudi tena, hvyo vyote ambavyo mnafanya sai kenya ilivifanya kitambo sana..sai tunajenga pale penye uhitaji nyie ndio mueanza sai
Kwani unadhani Tz hatuna existing HEP Dams?
Hata hiyo Reli ya wachina wameijenga nchini kwenu na kwa pesa, design, technology, materials zao 100% sisi huku tulishajenga tangu 1970s inaunganisha Dar Port na Zambia, kwaiyo tuseme Kenya imeiga Tz sio, maana the technology is the same, mabehewa na kila kitu, only small difference on the width,
Kuhusu Madaraja hamtakaa muifikie Tz, na bado tunazidi kujenga across oceans and lakes kwa pesa zetu, Kenya hata mishahara ya Kulipa wafanyakazi inakopa,
Kuhusu Stadia we are at different leagues, and you know it, Hilo Gofu la Karasani ni equivalent to CCM kirumba Mwanza, hata haufikii ule wa Z'bar,
Kimsingi Tz haina cha Kujifunza Kenya,
Labda Kenya ijifunze mambo kama BRT, rural electrification, Water services supply, maana hata Nairobi maji ni issue, Mjifunze pia kuwa taifa huru na muachane na siasa za kizamani ukabila.
 
CC: Tony254
 
Back
Top Bottom