Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

N

Nguruwe wewe me naongelea kufloat ww unaongelea kukamilika?
Kwani kama akili huna lazima utuoneshe wote kwamba huna akili hata ya kuangalia, kwaiyo kwajinsi unaona hapo kwenye picha iyo ni float au unaprove ignorance level yako??
Wacha akili mgando. Hio section ambayo unaona haijakamilika ndio itafloat.
 
Kwa hivyo afadhali ndege zenu mlizonunua kwa tens of millions of dollars afadhali ziendelee kupata kutu ndani ya hangar kushinda kutumika ili kurudisha pesa iliyotumika kuzinunua?
tony, kutokujua kwako hakukupi haki ya kuconclude. nani kakwambia ndege zetu haziendi uganda?
 
😉 Ngoja nianze uchambuzi;
hints: huyo vogue nimempa hadhi tu kwa sababu nimezielewa tits, ila wote ni wa chaka la ukikuyuni so ili wafike hadhi yangu itabidi nitumie pesa kuwaupgrade. Pia buda cheki mwenyewe hata hao walaji hapo pembeni ni kama wale wanaoonekana kwenye vibanda vya kubeti so kwa sasa hao ndio hadhi yao.
Sasa tuje kwenye vitu vichache tu walivyokosa.
1. Kichwani hawaridhishi kabisa, hao jamaa wameshindwa kugharamia. Hata demu anaegharamiwa TZS50K ya kichwa kawapita
2. Hizi swaga zao wanaonekana kabisa wanaiga, pc kali ikikucheki tu unaona tofauti kubwa sana na hawa walugaluga
Tuishie hapo nsijempeperushia kikiboy windo lake😀
Lakini wivu sio jambo nzuri. Hamna haja ya wewe mtu mzima kuwa na wivu kiasi hicho.
 
Yet we have higher life expectancy and higher standards of living than you based on reputable source. Acha kutoa upuzi matakoni ukipost hapa.

Alafu umeme mtoe wapi wakati mnaproduce less than a half of what we produce?
Sasa standard ya maisha inakuaje bora kama hamna
1)Chakula
2)Maji
3)Amani
4)Afya
5)Makazi bora
6)Ajira
7) Kuna rushwa iliyopitiliza
8)Kuna mashambulizi ya kigaidi
Hiyo higher standard of living unaipima kutokea Kibera au Korogojo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi tunawachapa katika hali bora ya maisha
1)Chakula
2)Maji
3)Amani
4)Afya
5)Ajira
6)Umeme
7)Miradi yenye faida
8)Kilimo
9)Rushwa
10)Umoja
Siku hizi naona umerudi kudebate bila facts na kujaza uongo nyingi kwa post zako. Kwa mujibu wa World bank, electrification rate ya Kenya ni 75% na ya Tanzania ni 35%. Kitu moja yenye imeanza kuniudhi na JF ni kuwa Watanzania wengi hawazingatii facts katika mjadala wao. Mimi nashindwa kabisa kujadili na mtu yeyote asiyezingatia facts, data na evidence kwa mjadala wake.
 
Sasa standard ya maisha inakuaje bora kama hamna
1)Chakula
2)Maji
3)Amani
4)Afya
5)Makazi bora
6)Ajira
7) Kuna rushwa iliyopitiliza
8)Kuna mashambulizi ya kigaidi
Hiyo higher standard of living unaipima kutokea Kibera au Korogojo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
anakwambia higher life expectancy[emoji38][emoji38].

inabidi tuchunguze sasa ni nchi ipi ina watu wengi wenye 70yrs and above,ili kuua kabisa hii mijadala ya kipuuzi puuzi.
 
Mradi haujakamilika. Wewe si utulize nyege nitakuletea mapicha ya floating pindi tu mradi utakapokamilika. The first modern floating bridge in Africa.
Fake floating bridge, mnataka mwishoni muweke kishiko cha miguu ionekane inaelea yn linguzo limekwenda mpk ground lkn nyie pale juu kabla nguzo haijagusa maji mtaweka vishiko hahahahaaaa nshawastukia wakenya ni wapumbavu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
anakwambia higher life expectancy[emoji38][emoji38].

inabidi tuchunguze sasa ni nchi ipi ina watu wengi wenye 70yrs and above,ili kuua kabisa hii mijadala ya kipuuzi puuzi.
Wewe hata hujasomea statistics unaweza kufanya uchunguzi gani? Hata hujui methods za data collection na wala hujui kuanalyze data. Wataalam wenyewe wameshafanya uchunguzi na wenyewe kubaini kuwa Kenya ina higher life expectancy. Sasa nenda kalilie chooni.
 
Fake floating bridge, mnataka mwishoni muweke kishiko cha miguu ionekane inaelea yn linguzo limekwenda mpk ground lkn nyie pale juu kabla nguzo haijagusa maji mtaweka vishiko hahahahaaaa nshawastukia wakenya ni wapumbavu sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Unajua maana ya pontoon?
 
Wewe hata hujasomea statistics unaweza kufanya uchunguzi gani? Hata hujui methods za data collection na wala hujui kuanalyze data. Wataalam wenyewe wameshafanya uchunguzi na wenyewe kubaini kuwa Kenya ina higher life expectancy. Sasa nenda kalilie chooni.
wataalam myfoot,kwani wewe unasikiliza wataalamu tu ambao nao ni binaadam!!!
hutumii na akili yako ya kawaida,ukisisoma statistics basi unaloa mwili mzima.
 
Hata akipewa data hajui inamaanisha nini. 😂 😂
 
wataalam myfoot,kwani wewe unasikiliza wataalamu tu ambao nao ni binaadam!!!
hutumii na akili yako ya kawaida,ukisisoma statistics basi unaloa mwili mzima.
Wewe wazimu sana. Sasa basi unaweza kuamini kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda USA maana naona unapuuza Wataalam wanaounda list ya Gdp na kurank nchi based on Gdp. Naona unadhani werevu wako ni wa maana sana kushinda werevu wa wataalam.
 
Back
Top Bottom