kikihboy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,819
- 3,176
Naona usawzi well planned 😄,,pako afadhali hapa
Naona usawzi well planned 😄,,pako afadhali hapa
Ulitaka waweke taa, service lanes, n.k kabla haijaisha? calm down, tutaelewana tuJukali tu style 🤣,kitu hakina NMT,no service lanes,no lights,no interchanges,no Overpass,no underpass,, alafu unasema I compete na akina Thika superhighway,, Nairobi expressway,,na Westlands to Rironi superhighway no way😂😂😂
Section ya Likoni bridge (150 metres)inaelea kwa kutumia pontoons. Na hii section haielei tu bali inajifungua na kujifunga kwa kutumia motor. Sasa nionyeshe bridge kama hio Tanzania.
kikihboy kwenye anga zake 😋Wivuuuu😂 mrembo ako sawa😍
Superhighway superhighway ushuzi wa komora, sisi tunajenga kulingana na mahitaji ya sasa na yajayo. tungetaka maonyesho tungeweka mbwembwe za kila aina na hapo inaendelezwa hadi chalinze then dual inafatia mpaka Dodoma. Najua hupendi ila itabidi tu ukubaliane na hali maana hamna namna nyingine 😀Hii ndio super highway ya bongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu azidi kutupa umri mrefu manake kw kasi hii ya kutaka kujionyesha mbele za waume pataumia watu
Unajua uswazi wewe au umekariri? Kenya yote haitakaa iwe na planned city kama TangaNaona usawzi well planned 😄,,pako afadhali hapa
Sisi tunawachapa katika hali bora ya maishaUnasema hivyo kwa sababu unajua vizuri kwamba tunawachapa bila huruma kwenye economic indicators karibu zote kuanzia Gdp hadi Gdp per capita hadi Gni per capita hadi HDI index.
Subiri iishe buda, hii ni zaidi ya nairobi sgr station. naona unataka kuzipa hadhi sawa upate pakutokea, hapa kunajengwa interchange za kutosha zenye tunnelsCopycut ya nairobi terminus, ndio muelewe sasa km jiwe miradi yake yote ni kutaka kushindana na kenya hamna lingine
Buda unataka underpass, interchange na sevice roads? subiri iishe, mbona joto linapanda ghafla au coronaJukali tu style 🤣,kitu hakina NMT,no service lanes,no lights,no interchanges,no Overpass,no underpass,, alafu unasema I compete na akina Thika superhighway,, Nairobi expressway,,na Westlands to Rironi superhighway no way😂😂😂
Ng'ombe wewe. Nani amekuambia kuwa mradi umekamilika?Kwani hii yenu inaelea juu ya maji au hujui maana ya kuelea??
View attachment 1648577
Mradi haujakamilika. Wewe si utulize nyege nitakuletea mapicha ya floating pindi tu mradi utakapokamilika. The first modern floating bridge in Africa.View attachment 1648623View attachment 1648624
Hii ni sectipn kenya wanaita floating.
Hiyo ni gate tu yakufunguka na kufunga
Acheni siasa za kudanganyana.
Yet we have higher life expectancy and higher standards of living than you based on reputable source. Acha kutoa upuzi matakoni ukipost hapa.Sisi tunawachapa katika hali bora ya maisha
1)Chakula
2)Maji
3)Amani
4)Afya
5)Ajira
6)Umeme
7)Miradi yenye faida
8)Kilimo
9)Rushwa
10)Umoja
😉 Ngoja nianze uchambuzi;Hahaha hao wasichana wawili wote ni warembo. toptorn ana wivu tu coz anajua hayuko level yao.
Nguruwe wewe me naongelea kufloat ww unaongelea kukamilika?Ng'ombe wewe. Nani amekuambia kuwa mradi umekamilika?