Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Happy muitoae wapi na ufukara mlionao [emoji3][emoji3][emoji3]
Ebu rudia tena[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
tapatalk_1605970655461.jpeg
 
Hakuna haja tukuletee ripoti za world Bank wakati TANESCO and REA can do us justice[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], kwenye hii ripoti wamesema kuwa electrification ya Tanzania in 2020 is 32% [emoji23][emoji1787][emoji23]
Tatizo lenu wakenya hamjui mambo mengi ya dunia, WB wanaweka ripoti kila baada ya miaka 3. By 2015 tulikua tumesambaza umeme kufikia vijiji 2000 pekee kati ya vijiji 12,000 vya Tanzania, ndani ya miaka mitano ya serikali ya Magufuli ameongeza vijiji 7000 kufikia vijiji 9000, hii inadi imetolewa katika hutuba ya Waziri katika bunge la bajeti, rais Magufuli katika hotuba zake zote amezungumza.

Sasa hivi Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme kufikia 74% ikifuatiwa na Nigeria 72%. Hizi data zitaonekana katika ripito za WB kuanzia 2019. Wewe lete hiyo ripoti ya WB inayosema ni 34% kama haitokua ya 2016 au 2017 na kurudi nyuma ambapo kazi ya kusambaza umeme kwa kasi ndio ilikua ikianza, wacha kujidhalilisha, WB ripoti zao zote wanazipata toka serikali husika, unahisi waziri au rais wanaweza danganya bunge na dunia nzima katika mambo kama hayo?,

Muulize mkenya yeyote aliyetembelea Tanzania kama alifika na kuona kijiji chochote ambacho hakuna umeme Tanzania, by 2021/22, vijiji vyote 100% vitakua na umeme Tanzania.
12572740_screenshot247_png917600ab8427a3787c148b21cf9263da.jpeg
 
Growth rate ni ukuaji wa uchumi wenu na nakumbuka vizuri lecturer akituelezea vizuri maana ya economic growth rate akitumia mfano huu. Wewe unaweka Tsh 10,000 kwa savings account ya benki na benki inakuambia kuwa itakulipa 10% interest kila mwaka. Halafu jirani yako anaweka Tsh 100,000 kwa benki hio hio na anaambiwa kuwa yeye atakuwa akilipwa interest ya 5% kila mwaka. Sasa mwishoni mwa mwaka unadhani ni nani atalipwa pesa nyingi na benki hio? Wewe au jirani yako?
Wewe: 10,000×0.1 = 1,000
Jirani: 100,000×0.05 = 5,000.
Jirani yako atalipwa interest kubwa kukushinda japo wewe ulipewa interest rate ya juu kumshinda. Kama bado hujaelewa then siwezi kukusaidia zaidi ya hapo.
Huyo haezielewa hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Anadhani higher percentage ni larger growth[emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Tony254 huyo joto la jiwe asikudanganye kuwa their electrification is 74%, hao jamaa hata 40% ndio hawajakanyaga[emoji23][emoji23][emoji116]View attachment 1648903
Enyewe nimeshangaa kuona kuwa bodi zao za kiserikali pia zinakubaliana na World bank kuwa TZ ina electrification rate chini ya 40%. Sasa sijui huyu joto anapinga nini. joto la jiwe tafadhali usiwe na tabia ya kupingana na evidence unayopewa.
 
Kama mnajenga kulingana na mahitaji yenu basi mbona mnailinganisha na Thika?[emoji23][emoji23]
Nyie ndio mnalinganisha, limezungumziwa swala la highway tukaweka kmara-kibaha then mkaleta nyodo za thika wakati thika yenewe imechooka na macracks
 
Enyewe nimeshangaa kuona kuwa bodi zao za kiserikali pia zinakubaliana na World bank kuwa TZ ina electrification rate chini ya 40%. Sasa sijui huyu joto anapinga nini. joto la jiwe tafadhali usiwe na tabia ya kupingana na evidence unayopewa.
Atakuambia kuwa Tanzania ndio inalead in rural electrification na ukiwauliza mwenye aliwarank position one hawatakujibu[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.

Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .

ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone
Tafuta avic town uone palivyo patamu.
 
Hakuna barabara Tanzania ambayo itawaishindana na Thika, alafu ni nyinyi watanzania ndio mlianza kulinganisha hiyo barabara na Thika. Sasa sijui mbona mnalia?[emoji23][emoji23]
Nyie ndio mnalinganisha, limezungumziwa swala la highway tukaweka kmara-kibaha then mkaleta nyodo za thika wakati thika yenewe imechooka na macracks
 
Hakuna barabara Tanzania ambayo itawaishindana na Thika, alafu ni nyinyi watanzania ndio mlianza kulinganisha hiyo barabara na Thika. Sasa sijui mbona mnalia?[emoji23][emoji23]
nani analia wewe!!!

kazi ndio kwanza imeanza kupiga nyangau kichwa moja moja.

hiyo shika highway tunaitoa kwenye trend soon tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] Na uko tu proud kupost hii picha?[emoji23]View attachment 1648878
Romantic suburbs ever, ona hiyo uniformity ya mapaa, see that arrangement, all tarmacked access roads in short Nairobi haina residential homes zilizopo planned kwa wingi huo ukiondoa vile vijumba vyenu viwili vitatu mnavyopiga pictures kila angles 😅😅😅
 
Romantic suburbs ever, ona hiyo uniformity ya mapaa, see that arrangement, all tarmacked access roads in short Nairobi haina residential homes zilizopo planned kwa wingi huo ukiondoa vile vijumba vyenu viwili vitatu mnavyopiga pictures kila angles [emoji28][emoji28][emoji28]
You are a fool[emoji23][emoji23], this is Kaloleni slum in Kisumu. The roads are paved and clearly marked, the houses arrangements are uniform but it's still a slum according to Kenyan standards. So hiyo middle income residential area ya Tanga ikija Kenya will be a slum[emoji1787][emoji23][emoji1787]
FB_IMG_16078602200533931.jpeg
 
mbona hamleti za ikulu yenu hapa!!!

huku hata nyumba ya mtu hurekodi bila ridhaa yake,sasa nashangaa kwenu,drone inapita lunda inarekodi mpaka parking na hakuna tatizo[emoji1][emoji1].
Kwhyo dar kila sehemu kuna ikulu sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Nyinyi kubalini ya kwamba hamna kitu ni uswazi uliotapakaa tu ndio manake drones ni aibu
 
Back
Top Bottom