toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
By the way, hebu share ile photo yako kina tony waelewe nini maana ya pc kaliTena umekisoma ukichokileta [emoji23]
By the way, hebu share ile photo yako kina tony waelewe nini maana ya pc kaliTena umekisoma ukichokileta [emoji23]
Ndio tatizo la uchumi wa Kenya, yaani uchumi wenu haujibu wala kutatua matatizo ya msingi ya wakenya wa hali ya chini, serikali ya Kenya inapelekeshwa sana na"Private sectot", yaani uchumi wa Kenya unajali na kutatua matatizo yanayoisumbua private sector zaidi kuliko watu wa hali ya chini.Bado tunapanda chakula za kila siku sema hatujitoshelezi. Lakini kuna dhana kuwa Kenya hatuna Wakulima wanaopanda mahindi au viazi. Wapo na wapo wengi sana ila wanafanya small-holder farming. Yaani Wakulima wadogo wanaolima ekari moja au mbili, hao ndio wakulima wengi.
Hayo ndio maeneo ya upper middle class. Lakini kama huyafahamu basi kuna maeneo mengi tu ambayo yanaweza kuwa classified kama upper middle class na pia kuna lower middle class.
Tuletee hyo upper kubwa na lower middle class kubwa dar na lower class ndogo dar[emoji848]Nairobi hakuna upper na lower middle class, bali kuna upper class ndogo, middle class kidogo na lower class kubwa, hiyo classification ya upper na lower middle class haipo Nairobi, ...
Nairobi terminus lkn moja ina zege alafu wakabandika vioo[emoji23][emoji23]
Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.
Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .
ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone
Growth rate ni ukuaji wa uchumi wenu na nakumbuka vizuri lecturer akituelezea vizuri maana ya economic growth rate akitumia mfano huu. Wewe unaweka Tsh 10,000 kwa savings account ya benki na benki inakuambia kuwa itakulipa 10% interest kila mwaka. Halafu jirani yako anaweka Tsh 100,000 kwa benki hio hio na anaambiwa kuwa yeye atakuwa akilipwa interest ya 5% kila mwaka. Sasa mwishoni mwa mwaka unadhani ni nani atalipwa pesa nyingi na benki hio? Wewe au jirani yako?Vipi Tanzania kuipita Kenya, South Africa na Nigeria katika Economic growth rate?, lakini uchumi wake bado ni mdogo?
chakula serikali hununua na kuhifadhi ghala la chakula taifa.Emu yenu huaga inakifanyaje chakuka chake[emoji848]
Mlipewa lini bure?
Barabara za vijijini sai wanafanya ma gavana, uhuru haimuhusu hyoNdio tatizo la uchumi wa Kenya, yaani uchumi wenu haujibu wala kutatua matatizo ya msingi ya wakenya wa hali ya chini, serikali ya Kenya inapelekeshwa sana na"Private sectot", yaani uchumi wa Kenya unajali na kutatua matatizo yanayoisumbua private sector zaidi kuliko watu wa hali ya chini.
Kenya inachukua mikopo mikubwa sana kujenga reli na bandari kuliko inayojenga mifumo ya umwagiliaji au barabara za vijijini, Kenya inajenga viwanja vingi vya ndege mikoani kuliko inavyojenga masoko ili wananchi wa kawaida kuinua vipato vyao.
Kenya you produce what you don't consume, and consume what you don't produce, this is referred as Economic disarray.
Na hayo mazao ya biashara anayotamba kuwa wanazalisha aombe Mungu tusiyazuie kwenda kupigwa chapa kenya. Chai sio yote wanayouza inatoka kenya vilevile parachichi, maua na kahawaat all sikuwa nimetaja uzalishaji wa chakula kenya bado,una haraka sana.
pamoja na majibu yako nimeyapokea,na nauliza kwa kufuata jibu lako sasa,mnazalisha pesa zaidi kupitia mazao ya biashara halafu mnanunua chakula kwa majirani,
ni sababu ipi inasababisha baadhi ya jamii kenya kukosa kabisa chakula!!!!
pesa ya kununua chakula haitoshi??,au chakula cha kununua hakipo??
kumbuka tu,nchi yoyote inayoingiza bidhaa chakula,ndio nchi dhaifu kabisa.ndio sababu uliona msuguano wakati wa corona kenya ikaonyesha udhaifu mkubwa kabisa.
zipo ila hazichukue maeneo yote.Hapana sio middle class, lakini hata middle class estates za Nairobi ziko Sawa zaidi ya hapo bongo.
Kitu nimejuka kugundua ni kuwa hakuna drone view za mji wa dar. Au ni mimi sijatafuta vizuri .
ebu post hapa video za drone view za mji wa dar tuone
Kama ni wafugaji lazima wajengewe mabwawa kwa ajili ya mifugo yao, wafugaji huku Tanzania wanalima na kuzalisha chakula chao na mifugo yao, kumbuka hata wafugaji hutumia mahindi kama chakula chao na mifugo yao.Unaongelea vijiji gani hvo, au unamaanisha yale maeneo kame ya wafugaji ambao hata ukulima hawajui ni nn
Kagera mkulu kapeleka ninichakula serikali hununua na kuhifadhi ghala la chakula taifa.
kusubiri kama kutatokea uhaba wa chakula sehemu,lakini pia chakula hicho cha akiba hutumika kuregurate bei ya vyakula sokoni.
sasa haiwezi tokea eti watu wa mbea wanakufa na njaa,halafu serikali imefungia chakula,hilo haliwezekani.
Kwn kenya ndio hakuna ishu na vibali maalumzipo ila hazichukue maeneo yote.
huku sisi tuna utaratibu haturuhusu kurekodi kila kitu,mpaka kwa vibali maalum.
ndio sababu huwezi iona video ikochukua eneo kubwa sana.
Ushawai waskia wamsai wakihangaishwa na njaa kenya wakati wa ukame na wao pia ni wafungaji, mbona wao tu waturkanaKama ni wafugaji lazima wajengewe mabwawa kwa ajili ya mifugo yao, wafugaji huku Tanzania wanalima na kuzalisha chakula chao na mifugo yao, kumbuka hata wafugaji hutumia mahindi kama chakula chao na mifugo yao.
Iwe ni wakulima au wafugaji, wote wanahitaji serikali kuwekeza miundombinu ili mazao au mifugo yao isisumbuliwe na ukame.
mbona hamleti za ikulu yenu hapa!!!Kwn kenya ndio hakuna ishu na vibali maalum