Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwhyo dar kila sehemu kuna ikulu sio[emoji122][emoji122][emoji122]
Nyinyi kubalini ya kwamba hamna kitu ni uswazi uliotapakaa tu ndio manake drones ni aibu
ni ujinga kusema tuna nyumba nzuri eneo moja kama ilivyo au zaidi ya sehemu za nairobi kama hapo runda au karen lakini ni upumbavu kusema eti dsm ni uswazi tupu.

haitakusaidia chochote zaidi ya kuwa unajiongopea tu.
 
Hakuna barabara Tanzania ambayo itawaishindana na Thika, alafu ni nyinyi watanzania ndio mlianza kulinganisha hiyo barabara na Thika. Sasa sijui mbona mnalia?[emoji23][emoji23]
yes hazifanani maana kibaha ina BRT lanes na yenu haina...
 
Sikuliza wewe, Kenya ni huo mkusanyiko wa hayo majimbo, bila hayo majimbo hakuna Kenya, jukumu la kuendeleza Kenya yote ndio jukumu la GoK chini ya Uhuru Kenyatta, hao wengine wanamsaidia Uhuru.

Hii tabia yenu ys kutuambia habari za majimbo kukwepesha udhahifu wa GoK hatutaki kurudia, Marekani ina majimbo, lakini lawama zote za uchumi kuzorota anarushiwa Trump, wacha ukabila, kwanini mnapenda sana "separatism?"
Barabara za county na uchumi wapi na wapi[emoji23][emoji23]
 
Kwasababu hakuna mwanasiasa mwenye ushawishi mkubwa serikali ndio sababu wametelekezwa na GoK
Alaaa!!kwhyo gavana wao hapati mgao wa hela, ww unajua kwnn kila county inapewa mgao wa hela..
Km hujui mambo uliza, eti wametelekezwa na wakati wanapewa hela[emoji23][emoji23]
 
Naomba tuendelee kuwaombeeni wakenya dua walau yesu ashuke aje kuwasaidia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇
39924263-A508-48B5-AE0D-4930771EB401.png
41BFCDF1-D753-47CC-97BD-5067F6FAD51D.jpeg
54D9AE06-D61B-4DF2-9F00-0ECB42EB1E99.jpeg
687E6A7B-B01D-48D3-B90B-8B56D5C05349.jpeg
 
Kwani unadhani Tz hatuna existing HEP Dams?
Hata hiyo Reli ya wachina wameijenga nchini kwenu na kwa pesa, design, technology, materials zao 100% sisi huku tulishajenga tangu 1970s inaunganisha Dar Port na Zambia, kwaiyo tuseme Kenya imeiga Tz sio, maana the technology is the same, mabehewa na kila kitu, only small difference on the width,
Kuhusu Madaraja hamtakaa muifikie Tz, na bado tunazidi kujenga across oceans and lakes kwa pesa zetu, Kenya hata mishahara ya Kulipa wafanyakazi inakopa,
Kuhusu Stadia we are at different leagues, and you know it, Hilo Gofu la Karasani ni equivalent to CCM kirumba Mwanza, hata haufikii ule wa Z'bar,
Kimsingi Tz haina cha Kujifunza Kenya,
Labda Kenya ijifunze mambo kama BRT, rural electrification, Water services supply, maana hata Nairobi maji ni issue, Mjifunze pia kuwa taifa huru na muachane na siasa za kizamani ukabila.
Utopolo mtupu[emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania sio madaraja, mabwawa, sgr, viwanja, stadiums vyote hvyo tulivifanya kitambo...

Yani sai mpo ile kenya ya 90s
 
sasa mnasaidiaje watz mnaacha ndugu zeni[emoji1][emoji1][emoji1].

mimi sijasema ushahidi wa kdf umepotea.
Ushahidi wa magu wa mahindi umeyeyuka sio[emoji23][emoji23]

Yani jamaa unavyonengua mpka raha
 
yes BRT ndo habari ua mujini dogo!! iyo pekee inatosha kuifanya iitwe morden highway
thika ni yakawaida tuu nothing special
Hiyo kibaka road hata haiezifikia Ngong' road and yet you are dreaming about Thika[emoji23][emoji23]
 
Utopolo mtupu[emoji23][emoji23][emoji23],
Tanzania sio madaraja, mabwawa, sgr, viwanja, stadiums vyote hvyo tulivifanya kitambo...

Yani sai mpo ile kenya ya 90s
mna daraja gani la maana[emoji23][emoji23]

likoni mnajenga flating ya nondo mwaka huu[emoji38][emoji38],acha undezi bana.
 
Naomba tuendelee kuwaombeeni wakenya dua walau yesu ashuke aje kuwasaidia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1648918View attachment 1648919View attachment 1648920View attachment 1648921
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]one of its kind first in east and central and all africa +world and all 7 continents floating bridge by uwezo wa mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana binadamu kashindwa kuliflotisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205]
 
Back
Top Bottom