Mr bongo
JF-Expert Member
- Mar 18, 2019
- 462
- 1,015
Da
Daraja lolote linaweza kuwekwa gate na magate yako aina nyingi so ilo darajalenu lina gate pale katikati kuruhusu boat kupita.Halafu kama unavyosema kuwa daraja hili halitafloat hapo katikati basi litafunguka vipi maana daraja zote zinazoweza kufunguka zinafunguka kwa sababu zinafloat. Daraja inayofloat ndio inayoweza kufunguka ila daraja fixed haliwezi kufunguka. Malazy mpo lazy kwenye kufikiria. Sasa kama litakuwa fixed kila mahali basi litafunguka vipi?