Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

jameni watu wamechukua loans kujenga stadia 🤣🤣🤣🤣
1790685284406.png
 
aliewaweka kenya kwenye BID lazima tumlaani, yaani CHAN was the red line but we didnt listen
1790685385448.png
 
basi ulikua mbele ya mda mzee baba
Hawa wana vichwa vya panzi, hawajui kuchanganua mambo mkuu, uwanja unaonekana kabisa unaruhusu running track lkn wanabisha, waambie walinganishe talanta pitch size na fumba alafu waone utofauti. Pitch ya Fumba ipo karibu kabisa na watazamaji, pitch ya talanta na Arusha zote ziko mbali na watazamaji kwasabu ni viwanja vya Olympic.
 
aliewaweka kenya kwenye BID lazima tumlaani, yaani CHAN was the red line but we didnt listen
View attachment 3680373
Kenya na uganda bado hawana sifa za ku host michuano mikubwa, tena bora uganda na viwanja vyao below standard, lkn Kenya wana kiwanja kimoja tu chenye caf standard na wanashindwa kumeet requirements. Tz imezungukwa na nchi maskini sn aisee.
 
Mm since day 1 sikuunga mkono pamoja bid kwasabu nilijua kuna watu hawana huo uwezo zaidi ya kujipiga vifua mbele ya camera, kwanza hata kama Kenya wangekuwa na muscles za kuandaa Afcon lkn ukweli ni kwamba 2027 kwao kutakuwa na vita vya kisiasa, so hii michuano tunaweza tukaikosa kwa uzembe wetu wa kukubali ku host pamoja na hawa watu.
 
tumzungukwa na vilaza 🤣 🤣 btw ule talanta bado hauna standard same kwa ule wa Hoima bado hawajapewa CAT 4
 
Mm since day 1 sikuunga mkono pamoja bid kwasabu nilijua kuna watu hawana huo uwezo zaidi ya kujipiga vifua mbele ya camera, kwanza hata kama Kenya wangekuwa na muscles za kuandaa Afcon lkn ukweli ni kwamba 2027 kwao kutakuwa na vita vya kisiasa, so hii michuano tunaweza tukaikosa kwa uzembe wetu wa kukubali ku host pamoja na hawa watu.
Toka CHAN wanasumbua kichz
 
Sasa hebu angalia huu ubabaishaji, watu wanataka ku host Afcon alafu uwanja wanaotegemea ndo huo kasarani 😂😂😂😂😂
wameambiwa toka mwanzo wabomoe upande mmoja waweke BOX mpaka leo hawajaanza, i wish nimjue alieleta wazo la kuungana na hawa kunguni 😭 😭 😭 Rwanda walikuepo tayar, BTW msigwa alisema never ever will this happen Again since CHAN
 
Hawa wana vichwa vya panzi, hawajui kuchanganua mambo mkuu, uwanja unaonekana kabisa unaruhusu running track lkn wanabisha, waambie walinganishe talanta pitch size na fumba alafu waone utofauti. Pitch ya Fumba ipo karibu kabisa na watazamaji, pitch ya talanta na Arusha zote ziko mbali na watazamaji kwasabu ni viwanja vya Olympic.
Yes exactly you are right
Running track itatoshea hapa
1000026046.jpg
 
Yes exactly you are right
Running track itatoshea hapa
View attachment 3680386
Fans watakua close na players na ni $1.3B 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Funny sana
Cheki ilivyo mbali na seats kama arusha
Wakenya bana
1000026047.jpg
 
Back
Top Bottom