joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Najua haziendi Uganda
Search
transsion.start.fyi
Najua haziendi Uganda
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ATCL inaenda Entebe, lakini haifiki Uganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna gap ya 150 metres ambayo bado haijazibwa. Hio gap ndio itakuwa floating ili iweze kujifungua na kujifunga. Ama unataka nikuletee video ndio akili ya lazy iweze kuelewa? Malazy huwa mnashangaza sana.Itafloat vp ss wakati manguzo yameenda mpk chini [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
siwezi wapuuza,maana silingani na us kwa lolote.si namba ya matajiri,si idadi ya watu,si ubora wa elimi,si tani za uzalishaji wa chakula,si tech,si afya yaaani sigusi popote.Wewe wazimu sana. Sasa basi unaweza kuamini kwamba Tanzania ina uchumi mkubwa kushinda USA maana naona unapuuza Wataalam wanaounda list ya Gdp na kurank nchi based on Gdp. Naona unadhani werevu wako ni wa maana sana kushinda werevu wa wataalam.
Ni sawa nimeona zinaenda Uganda. Tofauti yangu na wewe ni kwamba nikikosea jambo nakubali haraka sana bila kung'ang'ania jambo ambalo sio la kweli kama wewe.[emoji23][emoji23][emoji23]Search
transsion.start.fyi
Ss iyo video ni ya render au mana hilo floating bridge ([emoji3][emoji3]) halijaisha ss video umetoa wapi?[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]Kuna gap ya 150 metres ambayo bado haijazibwa. Hio gap ndio itakuwa floating ili iweze kujifungua na kujifunga. Ama unataka nikuletee video ndio akili ya lazy iweze kuelewa? Malazy huwa mnashangaza sana.
Mimi huwa sina shida kukubali ninapokosea. Hio ndio tofauti yangu na nyie malazy wa kusini ambao mnapenda kung'ang'ania jambo ambalo sio la kweli hata mkipewa evidence. Mimi ukinipa evidence nakubali mara moja na wala sifurukuti.
Video ya render ndio akili yako lazy iweze kuelewa.Ss iyo video ni ya render au mana hilo floating bridge ([emoji3][emoji3]) halijaisha ss video umetoa wapi?[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Render kibao huwa hamzitendei haki [emoji851][emoji851]Video ya render ndio akili yako lazy iweze kuelewa.
Kuhoji inakubalika. Sasa unahoji kuwa TZ ina uchumi mkubwa kushinda wa Kenya? Hahaha.siwezi wapuuza,maana silingani na us kwa lolote.si namba ya matajiri,si idadi ya watu,si ubora wa elimi,si tani za uzalishaji wa chakula,si tech,si afya yaaani sigusi popote.
ila wanaposema kenya imeniacha mbali sana kiuchumi,ni maswali machache tu yanaibuka kichwani kwangu.ninapohoji ndipo vioja navyo huibuka.
Unataka render ama hutaki?Render kibao huwa hamzitendei haki [emoji851][emoji851]
Kama kweli files hazijacorrupt huko kwenye chip yako ungeweza kuelewa kuwa takwimu nyingi za mabeberu kuhusu TZ zilichukuliwa kipindi tukiwa vibaya na wanaendelea kuforecast kuzitumia hizohizo mpaka pale tunapopaza sauti.Mimi huwa sina shida kukubali ninapokosea. Hio ndio tofauti yangu na nyie malazy ya kusini ambao mnapenda kung'ang'ania jambo ambalo sio la kweli hata mkipewa evidence. Mimi ukinipa evidence nakubali mara moja na wala sifurukuti.
We unasema halijaisha basi ngoja liishe ndo unipe video mana kwa jinsi lilivyo hili daraja najua tu litakuwa tofauti kabisa na render, Mana haiwezekani msubiri kitu miaka mingi hivyo alafu kitu chenyewe ndio hiki [emoji3][emoji3]Unataka render ama hutaki?
Tatizo lenu wakenya hamjui mambo mengi ya dunia, WB wanaweka ripoti kila baada ya miaka 3. By 2015 tulikua tumesambaza umeme kufikia vijiji 2000 pekee kati ya vijiji 12,000 vya Tanzania, ndani ya miaka mitano ya serikali ya Magufuli ameongeza vijiji 7000 kufikia vijiji 9000, hii inadi imetolewa katika hutuba ya Waziri katika bunge la bajeti, rais Magufuli katika hotuba zake zote amezungumza.Siku hizi naona umerudi kudebate bila facts na kujaza uongo nyingi kwa post zako. Kwa mujibu wa World bank, electrification rate ya Kenya ni 75% na ya Tanzania ni 35%. Kitu moja yenye imeanza kuniudhi na JF ni kuwa Watanzania wengi hawazingatii facts katika mjadala wao. Mimi nashindwa kabisa kujadili na mtu yeyote asiyezingatia facts, data na evidence kwa mjadala wake.
Wewe ni wazimu. Eti unasema tumesubiri hili daraja kwa miaka nyingi na daraja lenyewe lilianza kujengwa miezi mitano iliyopita na litakamilika kabla ya mwaka huu kuisha?We unasema halijaisha basi ngoja liishe ndo unipe video mana kwa jinsi lilivyo hili daraja najua tu litakuwa tofauti kabisa na render, Mana haiwezekani msubiri kitu miaka mingi hivyo alafu kitu chenyewe ndio hiki [emoji3][emoji3]
hakuna sehemu nimehoji kwamba uchumi wa tz ni mkubwa kuliko wa kenya,na wala hakuna mtz aliyesema hivyo katika huu uzi tokea coment no1.Kuhoji inakubalika. Sasa unahoji kuwa TZ ina uchumi mkubwa kushinda wa Kenya? Hahaha.
Halafu kama unavyosema kuwa daraja hili halitafloat hapo katikati basi litafunguka vipi maana daraja zote zinazoweza kufunguka zinafunguka kwa sababu zinafloat. Daraja inayofloat ndio inayoweza kufunguka ila daraja fixed haliwezi kufunguka. Malazy mpo lazy kwenye kufikiria. Sasa kama litakuwa fixed kila mahali basi litafunguka vipi?We unasema halijaisha basi ngoja liishe ndo unipe video mana kwa jinsi lilivyo hili daraja najua tu litakuwa tofauti kabisa na render, Mana haiwezekani msubiri kitu miaka mingi hivyo alafu kitu chenyewe ndio hiki [emoji3][emoji3]
Hakuna gap mzee mbna hujui hata vitu vya kwenu yale magate yameshawekwa ndio mujidanganye ni float.Kuna gap ya 150 metres ambayo bado haijazibwa. Hio gap ndio itakuwa floating ili iweze kujifungua na kujifunga. Ama unataka nikuletee video ndio akili ya lazy iweze kuelewa? Malazy huwa mnashangaza sana.