Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unataka ushaidi wa aina gani? Kwani mimi ni mwanajeshi nikuletee secret documents? Kuna sources nyingi zimepostiwa hapa JF miaka nenda miaka rudi na Wakenya wengine lakini wewe umeamua kuzipuuza halafu unaniitisha evidence? Kama umepuuza evidence zote ambazo unewekewa hapa JF kwa miaka nyingi basi mbona mimi niwaste energy yangu kubishana na wewe. Amini unachotaka lakini nimeanza kuona wewe sio mtu muungwana kama nilivyokuwa nikifikiri.
Evidences zote tulizoziweka mwaka jana wakati tunalinganisha Tanzania vs Kenya Airforces tulikubaliana kwamba Tanzania inazo J-7 jumla 14, zilizonunuliwa 2012, Kenya Airforce inazo F-5 7 jumla 5 zilizonunuliwa 1980s, ninashangaa leo unataka kurudisha mjadala tuliukubaliana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Facts ni kwamba KDF imeshindwa kuwamaliza Alshabaab badala yake KDF wameuliwa wengi na silaha zao kutekwa na kuharibiwa, wakati TPDF ndani ya wiki mbili wamewashindia magaidi Msumbiji, zaidi ya facts za ushindi, ni fact gani tena muhimu za jeshi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi uko wapi na sisi tukuwekee ushahidi km tuliteka ngome kadhaa za al shabab
 
Evidences zote tulizoziweka mwaka jana wakati tunalinganisha Tanzania vs Kenya Airforces tulikubaliana kwamba Tanzania inazo J-7 jumla 14, zilizonunuliwa 2012, Kenya Airforce inazo F-5 7 jumla 5 zilizonunuliwa 1980s, ninashangaa leo unataka kurudisha mjadala tuliukubaliana[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikubaliana na nani, nini kilikufanya mpka ukakubali km f5 ni tano au ndio unajifurahisha tu na wewe ilmradi uonekane unampaisha magu
 
Kama SGR iliyoishia porini, kuzambaza maji mijini, uzalishaji wa chakula, kujenga mabwawa ya umwagiliaji, kujenga bwawa la umeme, yote haya mliyafanya kitambo sio?, sasa hivi hamuhitaji tena maji wala chakula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mijini tangia ukoloni maji yalisambazwa, mabwawa ya maji na umeme nilifanya kuyasoma shule ya msingi, barabara sgr pia ina miaka ya mtoto wa primary unatakaje tena[emoji23][emoji23]

Kenya tumewatangulia nyinyi mnafanya sasa
 
Ulikubaliana na nani, nini kilikufanya mpka ukakubali km f5 ni tano au ndio unajifurahisha tu na wewe ilmradi uonekane unampaisha magu
Mnazo ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio hizo hizo zinazozalisha wabunge na wale walioiba pesa za Covid-19 matokeo yake wakenya wanakufa kama wadudu.
Umekasirika[emoji23][emoji23]
Na shule za tanzania zimetoa watu gani pande hizi zetu zaidi ya omba omba
 
Mnazo ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si wewe ukishasema mlikubaliana, kwhyo sasa umeanza kunengua baada ya kuona nimekukamata
 
Evidences zote tulizoziweka mwaka jana wakati tunalinganisha Tanzania vs Kenya Airforces tulikubaliana kwamba Tanzania inazo J-7 jumla 14, zilizonunuliwa 2012, Kenya Airforce inazo F-5 7 jumla 5 zilizonunuliwa 1980s, ninashangaa leo unataka kurudisha mjadala tuliukubaliana[emoji23][emoji23][emoji23]
Unluckily only 6 of those 14 are functional[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Ndio hizo hizo zinazozalisha wabunge na wale walioiba pesa za Covid-19 matokeo yake wakenya wanakufa kama wadudu.
Heri shule za Kenya zinatoa watu wezi (juu wezi kuna kila pahali duniani) kuliko shule za Tanzania zenye zinatoa waziri wenye hawajui kusoma[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
They are six[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Alafu our F-5f jets are much superior to them apart from speed.[emoji23][emoji1787][emoji23]
Hahahaha, they are brand new, their life span is 50years, here they are in action.
 
Back
Top Bottom