ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Inamaana Tony254 hujaona au🤣🤣🤣Jamani nipo mwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Jiji limejengeka hatari nimekuja na hichi chuma
Tony254 karibu
View attachment 1645390
Inamaana Tony254 hujaona au🤣🤣🤣Jamani nipo mwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Jiji limejengeka hatari nimekuja na hichi chuma
Tony254 karibu
View attachment 1645390
Kwani Kenya ndio itakuwa nchi ya kwanza kupaka rangi?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]This is Singapore[emoji23]Hahahaha, Ksh 5.6B kujenga BRT lanes?, labda ni kilometa moja pekee, kuweni serious kidogo, mtaishia kupaka rangi tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Evidence pleaseNajua GDP ya Tanzania na inatoshana na ya Nairobi...what else is there to know? nielimishe Kaka!!!
Sasa tuzo ilipatikana vp [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au umesahau
Pesa ndio unayo lakini akili huna. Kweli Mungu hawezi kubariki mja kwa kila kitu.Jamani nipo mwanza 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Jiji limejengeka hatari nimekuja na hichi chuma
Tony254 karibu
View attachment 1645390
I can't pretend to be stupid like them. Kwanza that low-IQ guy called ichoboy01 really pisses me off. Anyway wacha nikuwachie hawa watu. Me I can't deal with them.Never be serious when arguing with them and also pretend to be stupid like them[emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] usipanic basi ok mdanganye basi
Sasa kwanini mnadanganya kwamba mnajenga kwa Ksh 5.6B?, wekeni wazi kwamba mnapaka rangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani Kenya ndio itakuwa nchi ya kwanza kupaka rangi?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]This is Singapore[emoji23]
View attachment 1645398
View attachment 1645396
Kwani hizo stations zitapakwa rangi ama zitajengwa?[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kwanini mnadanganya kwamba mnajenga kwa Ksh 5.6B?, wekeni wazi kwamba mnapaka rangi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu asante, nimeona kuna mkenya anaitwa Ali Mohamedi, ila jamaa wameshampa za uso, ametulia[emoji23][emoji23][emoji23]
Ushaanza kuongea utoto [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata hakuna Mkenya anayejua kwamba leo ndio siku ya independence ya Tanzania. Nchi yenu sio maarufu hapa Afrika
Kwakweli ckuwa naijua hiyo date ya Kenya niwe mkweli kaka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hongera kwa kutokujua independence day Tanzani hii ni big achivement kwa wakenya..
Me najua yA kenya ni 1st january.. na watanzania wote tunajua
Kibera isThere is nothing like hell in this world[emoji23][emoji23]
Wewe sidhani kama nitawahi kujadili jambo lolote na wewe maana hautumii facts. Unatumia hisia kuargue. Halafu huheshimu facts unayopewa. Wacha niendelee kudebate na Watanzania wanaoheshimu facts.Huko niko miaka mitatu mzee ww achana na BRT kwenu bado sana muna safari ndefu sama
BRT is a system sio unaamka asubuhi na handas kichwani unasema BRT tu 🤣🤣🤣🤣
Tafadhali kuweni wazi, semeni mnajenga stations za BRT, ila lanes mtapaka rangi, umuhimu wa BRT in special lanes ili zisiingiliane na gari zingine, bila kuwa na separate lanes, hayo mabasi lazima yataingiliwa na gari zingine, haitofanya kazi.Kwani hizo stations zitapakwa rangi ama zitajengwa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni date ya uongo hio.Kwakweli ckuwa naijua hiyo date ya Kenya niwe mkweli kaka [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani madereva wa Kenya ni washamba kama hao wachawi wa huko kwenu?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]Tafadhali kuweni wazi, semeni mnajenga stations za BRT, ila lanes mtapaka rangi, umuhimu wa BRT in special lanes ili zisiingiliane na gari zingine, bila kuwa na separate lanes, hayo mabasi lazima yataingiliwa na gari zingine, haitofanya kazi.
BRT lanes zitainuliwa juu kama tu expressway. Kwani unadhani kazi ya hizo pillars ni nini? Unadhani hizo pillars zinajengwa ili kuwa kivutio cha utalii? Baada ya hizo pillars kusimama basi barabara ya BRT itatandazwa juu yake na kwa hivyo tutakuwa na flyover ya Brt.Tafadhali kuweni wazi, semeni mnajenga stations za BRT, ila lanes mtapaka rangi, umuhimu wa BRT in special lanes ili zisiingiliane na gari zingine, bila kuwa na separate lanes, hayo mabasi lazima yataingiliwa na gari zingine, haitofanya kazi.
Kama sio maarufu mbona mnapenda kufatilia maswala ya Tanzania sana?Hata hakuna Mkenya anayejua kwamba leo ndio siku ya independence ya Tanzania. Nchi yenu sio maarufu hapa Afrika