Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni date ya uongo hio.
Iyo ndio kuprove hata waTz hawajui and they dont care about Kenya indepence day..

Kuhusu mambo za indepence days i only know my country's day, sijui ya nchi nyingine yoyote dunian unless nimeona wamepost and then nitaacha hapo hapo hata nextday sitakumbuka!!
 
Hiyo ipo Thika road, tuambie itajengwa hadi wapi na kwa bajeti kiasi gani, kwasababu hili kampuni la China limepata kandarasi ya Ksh 5.6B pekee, wewe tuambie kwa hiyo pesa, itajenga eleveted road kiasi gani?
Itajengwa kutoka Clay works ambayo ipo Thika road hadi Kenyatta National Hospital ambayo ipo upperhill. Sijui ni kilomita ngapi na hawajasema kwenye hii article, pengine niangalie kwenye mtandao au google maps. Lakini haiwezi kuzidi kilomita 20.

Mjifunze kusoma articles tunazopost huku. Huwa tunafanya kazi ngumu kuwatafutia sources lakini mnakataa kusoma halafu mnabakia kuamini mazingaombwe mnayotaka.
 
By the way, Geza Ulole anajua kuwa Brt inapangwa kujengwa Thika road. Yeye nilimwekea video ya PS wa Transport na yeye anajua kuwa hii BRT ya Thika road inajengwa. Lakini wengine wenu nyie ni wabishi sana. Hata badala ya kuitisha evidence mnaamua kupinga tu kwa kutumia hisia kama ichoboy01
 
Itajengwa kutoka Clay works ambayo ipo Thika road hadi Kenyatta National Hospital ambayo ipo upperhill. Sijui ni kilomita ngapi na hawajasema kwenye hii article, pengine niangalie kwenye mtandao au google maps. Lakini haiwezi kuzidi kilomita 20.

Mjifunze kusoma articles tunazopost huku. Huwa tunafanya kazi ngumu kuwatafutia sources lakini mnakataa kusoma halafu mnabakia kuamini mazingaombwe mnayotaka.
Nairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.
 
ttdf'%#%%÷%-=t
 
Kumbe kweli,BRY ya bongo ina watesa.ikija SGR sijuibita itakuwaje?
 
Hiyo ipo Thika road, tuambie itajengwa hadi wapi na kwa bajeti kiasi gani, kwasababu hili kampuni la China limepata kandarasi ya Ksh 5.6B pekee, wewe tuambie kwa hiyo pesa, itajenga eleveted road kiasi gani?
Joto lakini inawezekana kuwa ni stations pekee zitakazoinuliwa juu na brt yenyewe ikawa chini. Bado sijaona hio design yake. Wacha tutajua baadaye. Ila fact ni kwamba Brt inajengwa Kenya na wala sio mambo ya kupaka rangi.
 
88 Nairobi updates
Latest from Lordship Africa:

“We are pleased to announce that we have all Covid-19 procedures agreed with the National Construction Authority, so now our contractor ZJCC is proceeding at full speed with the construction and have now a full team on site constructing the 3 meter deep foundation slab. The construction will be up to the ground level by April 2021, up to the podium level by July 2021 and up to 44th level by March 2022.”
 
Tuzo ya kuingia ndani kutumia dirisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 1645397
Hzi hutaki wewe🤣🤣🤣👇👇👇👇
Sisi tunajenga BRT 😂😂😅😅😅😅
D7E60231-656A-4358-B1D1-F9ED99BA6BD9.jpeg
BA435A58-CD88-47A7-8AF5-233DDDAB3D74.jpeg
D47BCA6E-7FC8-4422-A9F9-943299A03F8A.jpeg
 
Nairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.
What was the cost of your BRT phase 1 alafu ulinganishe hiyo bei na hizi porojo unatema hapa[emoji23][emoji23]
 
Nairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.
Nairobi expressway ni 27km halafu ni 6 lanes. Wacha kuchanganyikiwa joto. Halafu daraja ya wanaotembea kwa miguu is not part of this project. Usichanganyikiwe.
 
Back
Top Bottom