Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ichoboy usifanye nikublock. Mimi sio wale Wakenya unachezanga nao. Kamuulize Natonjr. Alileta ujinga na akakula block.
Sasa uniblock kisa nakwambia ukweli ??🤣🤣🤣 we vp

BRT inajengwa hvi ww 👇👇👇👇
52CDE25C-53AD-4402-9B4B-8EDC603B32D8.jpeg
 
Hii ndio evidence kua munajenga BRT hvi ww BRT unaichukuliaje yani unalala unaamka imekua BRT au sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1645380
Hizi ni nguzo za hiyo Nairobi Express highway kuelekea JKIA, habari ya ujenzi wa special lanes za BRT ilishashindikana Nairobi
 
Mm huna cha kunidanganya hakuna BRT inajengwa hvo wala hata usijidanganye sisi tunauzooefu sasa tunajenga phase 3 [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
So hile enye inajengwa Thika road ni ya Tanzania ama?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
Hizi ni nguzo za hiyo Nairobi Express highway kuelekea JKIA, habari ya ujenzi wa special lanes za BRT ilishashindikana Nairobi
Hizi ni nguzo za BRT na zinajengwa Thika road. Na kama uonavyo foundation bado inajengwa. Nairobi expressway inajengwa Mombasa road na nguzo zake tayari zimesimama na hata zinaonekana. Wabongo mjifunze kujikita kwenye facts badala ya kukurupuka ovyo ovyo.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 enhhh MuNgu atupe umri mrefu
 
Ntakukumbusha usijali [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeiweka akiba hio
Ushalose hopes za the only BRT in East Africa?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. By April next year nitakuwa nakutag mara tano kwa siku[emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Haya tuoneshe sehemu munajenga BRT nairobi ili mm nifunge acc jamii forum sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣
Thika road. Nenda skyscrapercity Kenya kisha uende kwenye uzi wa BRT utaona hivi vipicha huko.
 
Back
Top Bottom