Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ya Tz Juakali style 🤣no creativity,,cheki yetu venye tamu, under pass, Overpass, forked levelled roads,alot of creativity indeed 👏👏🔥😍
🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni kusema pspf tower ina meter 200 kwasababu meter 50 zimefanyiwa creativity zikawekwa underground🤣🤣🤣🤣
 
Mmepewa musoma town 25th tafuteni mji kenya out of top 5. Acheni maneno mengii..
Leta hiyo orodha mpaka number 25....juzi kuna jamaa amepost Iringa na Mbeya. Vibanda ''aka'' dream houses Kila corner!!! I hope hizo mbili haziko top 25😀😀😀
 
Leta hiyo orodha mpaka number 25....juzi kuna jamaa amepost Iringa na Mbeya. Vibanda ''aka'' dream houses Kila corner!!! I hope hizo mbili haziko top 25😀😀😀
We unajua gdp ya mbeya???

Unacombine miji 5 ya kenya ndo unapata mbeya moja, hata ivo mbeya ndo inawalisha maana half of chakula chote east africa kinatoka mbeya na iringa.
 
We unajua gdp ya mbeya???

Unacombine miji 5 ya kenya ndo unapata mbeya moja, hata ivo mbeya ndo inawalisha maana half of chakula chote east africa kinatoka mbeya na iringa.
Najua GDP ya Tanzania na inatoshana na ya Nairobi...what else is there to know? nielimishe Kaka!!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni kusema pspf tower ina meter 200 kwasababu meter 50 zimefanyiwa creativity zikawekwa underground🤣🤣🤣🤣
Sasa tuko kwa roads ama towers,,kuwa na msimamo wacha kukwepakwepa😄
 
Najua GDP ya Tanzania na inatoshana na ya Nairobi...what else is there to know? nielimishe Kaka!!!
Gdp ya nairobi ni ya makatasi lskin mbeya ni city ambayo kila nchi duniani inadream kuwa na mji kama mbeya.

Kenya mkiwa na mbeya hamtakufa njaa..
So heshimu mbeya.
 
S
Sasa tuko kwa roads ama towers,,kuwa na msimamo wacha kukwepakwepa😄
Soma uelewe! Three level from the ground unakuja kusema sijui pangani dust bridge ni three level uko ni kudhalilisha three level.
 
Awa jamaa wa huku mtandaoni wanavyoisifia kenya utadhani ni ulaya hivi kumbe kwa ground wana maisha ya shida kinoma. Kuna jamaa wanne wa kenya nimewakuta sehemu wamefungua ka tution ka pre form one. Jamaa wakiona tuu umevaa jezi au kofia yenye nembo ya tz dah wakusalute sanaa. Hawana mpango wa kurudi kwao. Wanaamini Tz ni nchi imebarikiwa sanaa.

Sasa hawa ndugu zetuu wa huku mtandaoni dah sio pw kelele mingii uhalisia 0,

We unajua gdp ya mbeya???

Unacombine miji 5 ya kenya ndo unapata mbeya moja, hata ivo mbeya ndo inawalisha maana half of chakula chote east africa kinatoka mbeya na iringa.
Mbeya inachapwa hadi na isiolo
images (21).jpeg
images (23).jpeg
images (25).jpeg
images (26).jpeg
images (27).jpeg
images (33).jpeg
 
Back
Top Bottom