joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Kenya ndio mpo hovyo barabani mkifuatiwa na Uganda, hamna nidhamu barabari kabisaaa, na mkiongezea corruption, hakuna basi ya BRT itajayofika on time.Unadhani madereva wa Kenya ni washamba kama hao wachawi wa huko kwenu?![]()
Kwa ufupi Kenya BRT imewashinda kama hamtojenga special lanes.



