Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Throwback
Upanga and CBD
5830E43F-2962-4A28-A879-83F79EA80151.jpeg
E28CF531-F7D9-4E59-BA49-14B45F66E39D.jpeg
E70B436B-A9E0-4594-8E99-C98103CC0BB8.jpeg
FED48B8D-5260-42F0-B113-6D36F5823E5D.jpeg
 
Hawa watu wananiboo. Yaani wewe huwa unavumilia ujinga yao vipi? Kama mmoja wao anaargue bila facts kuwa hio picha sio ya BRT. Yaani kabisa anaargue against facts. Ningumu kuvumilia ujinga yenye iko huku.
Never be serious when arguing with them and also pretend to be stupid like them
 
Hawa watu wananiboo. Yaani wewe huwa unavumilia ujinga yao vipi? Kama mmoja wao anaargue bila facts kuwa hio picha sio ya BRT. Yaani kabisa anaargue against facts. Ningumu kuvumilia ujinga yenye iko huku.
Hutaki ukweli ndio shida yako kubwa 🤣🤣
 
Sasa uniblock kisa nakwambia ukweli ??🤣🤣🤣 we vp

BRT inajengwa hvi ww 👇👇👇👇
View attachment 1645381
Hizo ni pillars zinataka kujengwa hapo. Hizo ni foundation tayari zimeshajengwa. Wewe una ringa kuwa una iphone latest basi mbona usizoom hio picha ili uweze kutazama jinsi hio foundation ilivyojengwa. BRT imeanza kujengwa hapa Kenya, lieni kabisa Watanzania. Lieni tu hakuna namna
 
Back
Top Bottom