Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pitia picha za Kimara highway na usisahau in Dodoma city the 110 km ring road will have several overpasses ! halafu na sisi tuletee ujenzi wa daraja la over 1 km Kenya nzima!

tapatalk_1598113870886-jpeg.437562
Kwn ni overpass to nowhere basi hata kuwa serious geza
 
Yet Tanzanians are the least traveled East Africans.
Sababu kuu ni kuwa sisi sio watumwa nchini kwetu.

Mtanzani wa kawaida kabisa anauwezo wakumiliki ardhi na kufanya biashara ndogo ndogo, na kama anaakili za ujasiliamali anaweza kutajirika. Hakuna nchi yoyote Afrika kufananisha na Tanzania kwenye maendeleo yanayojumuisha watu wote.

Pili, hati za kusafiria Tanzania zilikuwa hazitolewi hovyo hovyo na kuanzia 2016 serikali ilianza tena kubana kutoa hati.

Kipindi cha zamani (enzi za Nyerere) ilikuwa ni lazima upate 'exit visa' (kibali kutoka serikalini) kabla ya kuondoka nchini. Hii ilifanya watanzania wengi kutojisumbua kuondoka, na hata walipoondoa masharti bado wengi wakawa hawataki kuondoka.
 
Get a brain.
 
sometimes you reason like a kid...so mahali boundary ya nairobi county imeishia ndio nairobi city lazima iishie hapo juu kuna wall imeekwa kuznguka county?...iyo part ingine tuiite mombasa town.hivi shule ulienda kusindikiza wenzako au?
Uhehhehe rudi kwneye comment ya kilaza mwenzio aalf urudi kwenye comment yangu bogus 😂😂😂😂
 
You've always said the same thing about all projects in Kenya mwishowe unatoka na aibu. Ni juzi tu ulikuwa unataka uonyeshwe billboard ya expressway. Baada ya kupata mshtuko wa moyo kuona inajengwa hujawahi ongea ujinga za billboard tena. Hata hii pia utaibika tu mwishowe kama kawa
Unehehhe hio ndio sehemu munajenga kwan pinnacle mulituambiaje do u remb😂😂😂 expressway ingeku ni pesa zingoka kwa mfuko wa mkenya subutu munegesubiri miaka 200 kumbe ppp mchina anamilki miaka 27 huku akiwakamua ushuru wa 600ksh per car hapo sawa subiri muone dunia ilivo chungu 😂😂😂😂😂. Mchina kawashika pabaya sana
 
This current budget year alone the GOK has invested ksh 12 billion ($120 million) into Konza. Kama hujui kitu nyamaza.

Soma hapa

Bring evidence of each year's budget since the start of the project! BTW what came to Konza city was Kshs 6.3 bln, 9th year down the line as the only money invested so far out of $14 bln needed to make the place a reality!

Sasa hapo $1080 mna mguu moja ndani na nyingine nje. Mkicheza kidogo mnarudi LDC. Ndio maana nikasema rika yenu Uganda. Sisi hakuna jinsi tunaweza kurudi LDC. $1750 iko mbali sana na cutoff point ya Ldc lakini nyie mkicheza mnarudishwa LDC. Sisi tumekolea hapa mido inkamu kuanzia 2013.
Mmekolea na buku na mia saba? Vp mkifika 10000 mtasema mnaungulia AU
 
Back
Top Bottom