Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wanapenda Render... Hatari... 🙂

Tabia za kiwizi wizi tuu... Kuwahadaa watu huko duniani na mipicha ya kompyuta home kuko hivi.. wakitembelewa wamejazana Kariobangi na Kule kwenye ile "Best Unplanned Area" yao.. 🙂

😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hua hawanidanganyi kitu wananijua vzr 😂😂
 
Tanga Cement continues talking to Tanzanian government about new grinding plant in Arusha​

Written by Global Cement staff11 November 2020

Tanzania: Tanga Cement says that talks with the government about a new 0.5 – 0.75Mt/yr grinding plant in Arusha are progressing. Discussions about the project with the authorities originally started in 2016, according to the Daily News newspaper. At present the cement company transports cement to the region using a freight train that was recently inaugurated.

TRC is massively enjoying the bigger freight chop from Simba, it may caunt to more than 60 percent of the total business, fertilizer may be the nearest contributor after simba
 
Hata A220-300 zinafika India! Route ya China ikianza India itahudumiwa na Airbus Wakati nyingije mbili zijangoja kuingia 2021. Pia kuna dreamliner nyingine zitanunuliwa katika order ya ndege 5 zilizoahidiwa 4 abiria 1 mzigo!

Tatizo lao bado wanadhani hii ni Tz ya 90s hasa huyu Tony254 ndiyo yuko less informed, huwa anauliza maswali ya ajabu sana.
 
Unajua Kinachoendelea Bagamoyo port!?

H.E. Magufuli aliterminate hii kitu kwasababu haikuwa na favourable terms for the country...

Tanzania was never building it.. ilikuwa chini ya BOT. Mjenzi ndiye aliyekuwa asource funds.. Sisi tunatafuta Gunda za nini!?

Its China Merchant Ndio wanahaha kutafuta funds wasipoteze a golden opportunity..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Najua kinachoendelea Bagamoyo na ni kwamba mlikosa pesa za kujenga port ikabidi mtembeze bakuli China. Mchina naye kaja na oppressive terms that forced your government to coil its tail and suspend the project. It's not about viability or anything. It boils down to luck of funds from the government of Tanzania to carry out the project to the end
 
Wanapenda Render... Hatari... 🙂

Tabia za kiwizi wizi tuu... Kuwahadaa watu huko duniani na mipicha ya kompyuta home kuko hivi.. wakitembelewa wamejazana Kariobangi na Kule kwenye ile "Best Unplanned Area" yao.. 🙂

😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
A Dar resident talking about planning. Bongolalas you are taking this joke too far now 😂 😂 😂. When did Dar become a planned city?
 
Najua kinachoendelea Bagamoyo na ni kwamba mlikosa pesa za kujenga port ikabidi mtembeze bakuli China. Mchina naye kaja na oppressive terms that forced your government to coil its tail and suspend the project. It's not about viability or anything. It boils down to luck of funds from the government of Tanzania to carry out the project to the end
Punguza kuongea utopolo

Screenshot_20201115-202517~2.png
 
Najua kinachoendelea Bagamoyo na ni kwamba mlikosa pesa za kujenga port ikabidi mtembeze bakuli China. Mchina naye kaja na oppressive terms that forced your government to coil its tail and suspend the project. It's not about viability or anything. It boils down to luck of funds from the government of Tanzania to carry out the project to the end
kama SGR Mombasa-Naivasha
 
They say pictures speak a thousand words and I hope your brothers have learnt something from this picture.

1. If it's true it was not viable (a white elephant as some of you call it), why did Kikwete launch it? And why has it taken so long to build? Why do you launch a project that's not viable in the first place?

2. It's crystal clear that you don't know what's happening in your own country (because you have chosen to keep yourself busy with the happenings in Kenya). In that link I shared, Bagamoyo port is a pipe dream because Magufuli already suspended its construction meaning you will not see it materialize in the near future. Not because it's not viable, but because hamna pesa. Nashangaa zile pesa za ndani zilienda wapi!
Read this link word by word perhaps you'll grab one or two things about this dead project
 
Back
Top Bottom