Kuna wakati mwengine huwa ninapata taabu sana kuelewa uwezo wenu wa akili, sasa kuheshimika kwa nchi na kutembea kwa raia wake kuna uhusiano gani?
Actually kwa Africa, nchi ambayo raia wake wanazunguka sana duniani ndio inazidi kupoteza heshima yake huko duniani kama Nigeria na Kenya, Zimbabwe, Somalia, na Ethiopia.
Ukiona raia wanatawanyika duniani kote, ujue hiyo nchi maisha ya raia wake ni mabovu sana, huwezi kuta raia wa Botswana, Seychelles, Mauritius, Tanzania, na Namibia wanazagaa duniani kote
Nchi