Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuanze battle sasa kwenye upande wa internet speed

1605775781893.png
 
Soma hapa na uisome yote ndio uje tudebate. Usikuje hapa kama hujaisoma

Unadhani mpaka nimeweza kuku-quote hapa nimeshindwa kwenda huko Wikipedia na kujisomea? Mimi nataka unipe uelewa wako wewe vile bandari ina operate. Hususani hiyo trans-shipment port. Ambayo umesema meli kubwa zitashusha tu na kuondoka bila kupakia.

Nitajie mfano wa bandari za aina hiyo, na meli za mizigo zinazoshusha tu na kuondoka bila kupakia. Halafu unaifahamu maersk vizuri? Haswa wana deal na biashara gani?
 
Soma hapa na uisome yote ndio uje tudebate. Usikuje hapa kama hujaisoma

uache ufala mzee hiyo bandari yenu ya lamu ni tembo mweupe haitakuja kufanya inachotarajia! imagine bandari za Tanga na Mtwara zimeanza kupanuliwa miaka miwili iliyopita hivi unavyobishana Mtwara port inazinduliwa December! na itakuwa na uwezo wa hicho mnachotarajia lamu! na tayari Malawi wako tayari kusaini mkataba wa matumizi wa Bandari ya Mtwara!
 
Kwhyo mliooacha kupima tanzania watu hawafi tena siku hizi
Kwani watu wameanza kufa mwaka jana??!!..nyie wakenya mna akili gani?..watu wanakufa tangu enzi za yesu na mtume,magufuli ametumia miaka 20 maabara,ni mwanasayansi mbombevu,unataka tuache kumsikiliza yeye tumsikilize mlevi kenyatta,au tumsikilize yule mhuni trump,katika masuala ya korona hakuna raisi hapa east anayeweza kukaa na magufuli na ndo maana alikuwa anawakataa kipindi kile alikuwa anawaona wajinga tu,magu ana akili sana najua huwezi kukubali hapa ila moyoni mwako unaelewa

Corona ni hadithi za abunuasi hapa bongo,na tunashangaa sana kuona leo hii mnazungumzia corona
 
Unadhani mpaka nimeweza kuku-quote hapa nimeshindwa kwenda huko Wikipedia na kujisomea? Mimi nataka unipe uelewa wako wewe vile bandari ina operate. Hususani hiyo trans-shipment port. Ambayo umesema meli kubwa zitashusha tu na kuondoka bila kupakia.

Nitajie mfano wa bandari za aina hiyo, na meli za mizigo zinazoshusha tu na kuondoka bila kupakia. Halafu unaifahamu maersk vizuri? Haswa wana deal na biashara gani?
Uwache maswali za kijinga wewe Mbongo. Meli inayobeba magari kutoka bara la Asia na kuyashusha Lamu port itapakia magari gani kutoka Tanzania? Nyie mnaunda magari? Nyie mnaexport magari? Umeniambia nikupe mfano, nimekupa mfano.
 
Maendelo ya ujenzi wa daraja la Muda - Kigongo Busisi.

View attachment 1629773

View attachment 1629774
Wakenya tunapowaambia hii stand ni zaidi ya airport yenu muwe mnaelewa, alafu angalia kuanzia min 8.5 inaongelewa underground parking yn ni kubwa na ya kisasa hakuna ukanda huu

Pia msisahau kutazama comments za watanzania kwenye hii video ili mjue kwnn jpm alishinda kwa kishindo 84%, onaa hapa underground parking na toilets
Screenshot_2020-11-19-12-29-13.jpeg
Screenshot_2020-11-19-12-26-49.jpeg
Screenshot_2020-11-19-12-32-15.jpeg
 
my friend ata heri unyamaze...tuko na nairobi expressway,tuko na western bypass,,kuna southern bybass to icd,kuna dualling of nai to makutano,brt kule thika road inajengwa,,mombasa ndio balaa,,,tafuta jomvu to msa road project,flyover kama zote kuna dongo kundu just but to name a few...kasi ya kenya huwezani nayo nanii
Hizo takataka zote ulizotaja hakuna hata moja inayoweza kukaribia ubungo#fact
 
Wakenya tunapowaambia hii stand ni zaidi ya airport yenu muwe mnaelewa, alafu angalia kuanzia min 8.5 inaongelewa underground parking yn ni kubwa na ya kisasa hakuna ukanda huu

Pia msisahau kutazama comments za watanzania kwenye hii video ili mjue kwnn jpm alishinda kwa kishindo 84%, onaa hapa underground parking na toilets View attachment 1629828View attachment 1629829View attachment 1629830
Alafu watu wengi wanadhan hii stendi ni majengo ya juu tu, mzigo kamili upo chini huko kuna vyumba 500
 
Uwache maswali za kijinga wewe Mbongo. Meli inayobeba magari kutoka bara la Asia na kuyashusha Lamu port itapakia magari gani kutoka Tanzania? Nyie mnaunda magari? Nyie mnaexport magari? Umeniambia nikupe mfano, nimekupa mfano.

Uko desperate i wish huyo tembo mweupe wenu aanze kazi leo halafu tuone kama kuna mzigo wa Tanzania au Djibouti utatua hapo! kumbuka Djibouti nao ni moto!
 
Uko desperate i wish huyo tembo mweupe wenu aanze kazi leo halafu tuone kama kuna mzigo wa Tanzania au Djibouti utatua hapo! kumbuka Djibouti nao ni moto!
Wewe wazimu hujui Mombasa port ambayo hata haikuundwa kwa nia ya kufanya trans-shipment tayari inafanya trans-shipment kuelekea Dar port?
 
Back
Top Bottom