Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The most modern bus stop in East and Central of Africa, Mbezi Louis [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
Screenshot_2020-11-19-09-52-09.jpeg
Screenshot_2020-11-19-10-08-45.jpeg
Screenshot_2020-11-19-09-51-41.jpeg
 
Bring evidence of each year's budget since the start of the project! BTW what came to Konza city was Kshs 6.3 bln, 9th year down the line as the only money invested so far out of $14 bln needed to make the place a reality!


Yaani ninakuwekea evidence kuwa GOK imeinvest ksh 12 billion into Konza this financial year halafu wewe unasema eti Gok imeinvest ksh 6.3 billion in 9 years? Wewe una kichaa
 
You guys are fools, headless chickens, what has the $120m done at that bare land called conza
Wewe unaelewa financial year inamaanisha nini? Yaani ni lazima nikae chini niwafunze nyie Malazy maana ya financial year? The current financial year ya GOK inaanza June 2020 hadi June 2021. Sasa kuanzia June 2020 hadi June 2021 GOK imeinvest ksh 12 billion into Konza. Sasa ngoja hadi hii financial year iishe ndio tujue hio ksh 12 billion imefanya nini. Ngoja hadi June next year. Sawa mzee?
 
Sababu kuu ni kuwa sisi sio watumwa nchini kwetu.

Mtanzani wa kawaida kabisa anauwezo wakumiliki ardhi na kufanya biashara ndogo ndogo, na kama anaakili za ujasiliamali anaweza kutajirika. Hakuna nchi yoyote Afrika kufananisha na Tanzania kwenye maendeleo yanayojumuisha watu wote.

Pili, hati za kusafiria Tanzania zilikuwa hazitolewi hovyo hovyo na kuanzia 2016 serikali ilianza tena kubana kutoa hati.

Kipindi cha zamani (enzi za Nyerere) ilikuwa ni lazima upate 'exit visa' (kibali kutoka serikalini) kabla ya kuondoka nchini. Hii ilifanya watanzania wengi kutojisumbua kuondoka, na hata walipoondoa masharti bado wengi wakawa hawataki kuondoka.
Kwanza hao wakenya wengi wanaokimbilia ulaya na amerika wanaishia kwenda kuosha masufuria kwenye migahawa na vikongwe vya kizungu kwenye majumba ya wazee! Akibahatika sana kupata kazi ya maana labda kiwandani kupanga mabox! Sisi watz hatuna haja ya kufanya kazi za ki**nge namna hiyo wakati fursa zimejaa nchi nzima ni bidii na akili yako tu ya kutafuta na ukapata pesa nzuri tu huku ukiwa huru kabisa.
 
Kwanza hao wakenya wengi wanaokimbilia ulaya na amerika wanaishia kwenda kuosha masufuria kwenye migahawa na vikongwe vya kizungu kwenye majumba ya wazee! Akibahatika sana kupata kazi ya maana labda kiwandani kupanga mabox! Sisi watz hatuna haja ya kufanya kazi za ki**nge namna hiyo wakati fursa zimejaa nchi nzima ni bidii na akili yako tu ya kutafuta na ukap[ata pesa nzuri tu huku ukiwa huru kabisa.
Huko America japo sijafika bado, nina relative yangu mmoja anayeishi huko na Anafanya kazi kama yenye umetaja na sasa amenunua viwanja hapa Kenya na sasa anajenga. Usidharau kazi yoyote, what matters ni "unalipwa pesa ngapi?"
 
Huko America japo sijafika bado, nina relative yangu mmoja anayeishi huko na Anafanya kazi kama yenye umetaja na sasa amenunua viwanja hapa Kenya na sasa anajenga. Usidharau kazi yoyote, what matters ni "unalipwa pesa ngapi?" Kuosha mk*ndu sio shida kama unalipwa pesa nyingi kufanya hivyo.
Kwani akiwa Kenya hawezi kujenga nyumba mpaka aende kuosha mik*ndu huko ulaya au amerika? Je wote wanakwenda huko wanajenga nyumba huko kenya? Basi kama kwa mkenya wa kawaida kujenga nyumba mpaka aende ulaya/amerika kubeba mabox basi gdp yenu ni bure kabisa hai-reflect maisha ya common mwananchi!
 
Unehehhe hio ndio sehemu munajenga kwan pinnacle mulituambiaje do u remb😂😂😂 expressway ingeku ni pesa zingoka kwa mfuko wa mkenya subutu munegesubiri miaka 200 kumbe ppp mchina anamilki miaka 27 huku akiwakamua ushuru wa 600ksh per car hapo sawa subiri muone dunia ilivo chungu 😂😂😂😂😂. Mchina kawashika pabaya sana
Na hata baada ya miaka 27 mchina hatawaachia kirahisi maana asipokua bold uchumi utashuka so hata kama kitu ni kidogo wao wanang'ang'ania. Miaka ya nyuma china ndio ilikua na cheap labour upepo uliohamia kwa vietnam, sasa china nao wanatakiwa watafute watu wa kuwanyonya ili wabaki kwenye game
 
Back
Top Bottom