Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba kuuliza, hivi Nairobi iko Ukikuyuni kijiografia? Nauliza hivi kwa maana Wakikuyu wengi ninaowafahamu wanaishi km chache ktk Nairobi, yaani ukienda km ktk Nairobi tayari inaanza Kikuyu land, ...
Nairobi is situated at the juncture of Maasai, Kikuyu and Kamba communities hence its metropolis extends to those lands. Read some Geography.
 
Yah Tanzania ndiyo ilikuwa nchi inayiheshimika zaidi hapa EA kiuchumi mpk kijeshi ila viongozi walituangusha sn but cku hz tumeirudisha heshima yetu thus y tunatamba hapa EA na hakuna nchi ya kutusumbua kwa ss, unaweza ukaona jinc tunavyokwenda kujitegemea kiuchumi.

Tuna finance miradi mikubwa mfano bwawa la umeme jnhp kwa pesa za ndani $2.9bln, pesa za uchaguzi zaidi ya tshs330 bln ni pesa za ndani hvyo mambo ya kuomba omba cku hz tumeachia kenya [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwa hivyo nyie mnaheshimika duniani kushinda Kenya?
 
LOL for your little information, incase you forgot 😂

👇👇👇

The calculated flying distance from Nairobi to Thika is equal to 25 miles which is equal to 40 km. If you want to go by car, the driving distance between Nairobi and Thika is 44.49 km. If you ride your car with an average speed of 112 kilometers/hour (70 miles/h), travel time will be 00 hours 23 minutes.
Sasa ni nini hapo umesema? Unarudia tu distance niliyoandika na unaona umesema jambo la maana?
 
Nairobi is situated at the juncture of Maasai, Kikuyu and Kamba communities hence its metropolis extends to those lands. Read some Geography.

OK najua kwamba Nairobi ni Masai land kihistoria, lkn ni km ngapi kutoka Nairobi hadi Ukambani ? Kwa maana ukikuyuni najua ukitoka tu Nairobi uko kwa Wakikuyu, source yangu ni mimi mwenyewe nina marafiki wengi huko na nimeshafika,ila Ukambani sijui ni umbali kiasi gani, ...
 
Kwa hivyo nyie mnaheshimika duniani kushinda Kenya?
Tanzania inaheshimika hapa duniani kuliko nchi nyingi, usiifananishe heshima ya tz kwa kenya, Kuna nchi nyingi kubwa ikiwemo China na SA mtanzania anaingia bila longo longo cz tunaheshimika sn, Kenya ni nchi yenye sifa mby hapa duniani ni nchi inayosifika kwa rushwa na utapeli, usilinganishe tz na kenya tafadhali, hii battle isikuongopee kabisa Tony [emoji3][emoji3][emoji3]
 
OK najua kwamba Nairobi ni Masai land kihistoria, lkn ni km ngapi kutoka Nairobi hadi Ukambani ? Kwa maana ukikuyuni najua ukitoka tu Nairobi uko kwa Wakikuyu, source yangu ni mimi mwenyewe nina marafiki wengi huko na nimeshafika,ia Ukambani sijui ni umbali kiasi gani, ...
Ukambani ni hapo hapo Nairobi. Machakos county ya Wakamba ipo karibu sana na Nairobi. Hebu kaigoogle utaona
 
OK najua kwamba Nairobi ni Masai land kihistoria, lkn ni km ngapi kutoka Nairobi hadi Ukambani ? Kwa maana ukikuyuni najua ukitoka tu Nairobi uko kwa Wakikuyu, source yangu ni mimi mwenyewe nina marafiki wengi huko na nimeshafika,ia Ukambani sijui ni umbali kiasi gani, ...
Boss, make Google your friend. Saa zingine unaulizanga maswali za kijinga. Let me give you a clue - JKIA is in Kambaland. Anzia hapo.
 
Tanzania inaheshimika hapa duniani kuliko nchi nyingi, usiifananishe heshima ya tz kwa kenya, Kuna nchi nyingi kubwa ikiwemo China na SA mtanzania anaingia bila longo longo cz tunaheshimika sn, Kenya ni nchi yenye sifa mby hapa duniani ni nchi inayosifika kwa rushwa na utapeli, usilinganishe tz na kenya tafadhali, hii battle isikuongopee kabisa Tony [emoji3][emoji3][emoji3]
Yet Tanzanians are the least traveled East Africans.
 
Tanzania inaheshimika hapa duniani kuliko nchi nyingi, usiifananishe heshima ya tz kwa kenya, Kuna nchi nyingi kubwa ikiwemo China na SA mtanzania anaingia bila longo longo cz tunaheshimika sn, Kenya ni nchi yenye sifa mby hapa duniani ni nchi inayosifika kwa rushwa na utapeli, usilinganishe tz na kenya tafadhali, hii battle isikuongopee kabisa Tony [emoji3][emoji3][emoji3]
Eti mnaingia China bila visa?
 
Boss, make Google your friend. Saa zingine unaulizanga maswali za kijinga. Let me give you a clue - JKIA is in Kambaland. Anzia hapo.

Mbona kama unashikwa hasira na vitu vidogo ? Mimi mtu akiniuliza swali kama hilo kuhusu Tanzania kama najua nitamuelezea na siwezi kumpeleka sijui google, ...
 
EU7LaKiVAAEP9Xj.png
Hii hapa ramani...
 
Back
Top Bottom