Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua Kinachoendelea Bagamoyo port!?

H.E. Magufuli aliterminate hii kitu kwasababu haikuwa na favourable terms for the country...

Tanzania was never building it.. ilikuwa chini ya BOT. Mjenzi ndiye aliyekuwa asource funds.. Sisi tunatafuta Gunda za nini!?

Its China Merchant Ndio wanahaha kutafuta funds wasipoteze a golden opportunity..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja tuwakereee kidogo
IMG_20201115_180849_3.jpg
 
Hii njia itahusisha mwendo kasi ? Kamukhm
Barabara hii Itakuwa na Njia maalumu ya mabasi ya kwenda haraka.. Mwenge Ubungo Buguruni nakuendelea pia..

Nadhani hunenda ikawa sababu ya kutekeleza ujenzi wa Daraja jipya la Selander kupisha Upanuzi kwenye njia hii ya A.Hassan Mwinyi.

Ukiangalia fensi chache along the road Maeneo ya upanga zinavunjwa na kujengea ndani itakuwa yoote ni maandalizi tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ss wewe unavyoona hapo kuna nn zaidi ya ghorofa moja pekee? Au ni yale maghorofa ya kwenye render ndiyo unajivunia nayo? Kenya bhn yn mnapoteza pesa nyingi kwa upuuzi ambao gharama zake hamziwezi, ilipasa hyo pesa ya ku dizain Konza city mpeleke maji, umeme na hospitali kule kwenye ma slums ya kidunia yanayotesa wananchi wenu na co hz ndoto za alinacha mko nazo.

Jengeni mambo muhimu kwanza kama sisi tunavyofanya zen hayo mengine luxury yatakuja automatically.
Ngoja Konza ikifunguliwa tutakualika
 
Kama hujui kitu sema uelezewe. Usilete battle kwa kila kitu. Hii ni asilimia moja? Wavuta bangi wamejaa Tanzania

So show me just 1% of that render ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words😂😂😂😂 remb is over 10yrs now

Is that 1% of this 😂😂😂👇👇👇😀 kweli bangi inavutwa
47A5D4E6-8D25-45AF-A76B-6854DC2AC1DE.png
 
Wacha kuwa na emotions kama mtoto wa kike! Less than $100 mln imekuwa invested at Konza city that is to cost $14.5bln! Do the maths! Actually less than 0.5% n to be specific 0.0006896551724137931 or 0.07%!
This current budget year alone the GOK has invested ksh 12 billion ($120 million) into Konza. Kama hujui kitu nyamaza.

Soma hapa

Ss wewe unavyoona hapo kuna nn zaidi ya ghorofa moja pekee? Au ni yale maghorofa ya kwenye render ndiyo unajivunia nayo? Kenya bhn yn mnapoteza pesa nyingi kwa upuuzi ambao gharama zake hamziwezi, ilipasa hyo pesa ya ku dizain Konza city mpeleke maji, umeme na hospitali kule kwenye ma slums ya kidunia yanayotesa wananchi wenu na co hz ndoto za alinacha mko nazo.

Jengeni mambo muhimu kwanza kama sisi tunavyofanya zen hayo mengine luxury yatakuja automatically.
Render yenyewe hii hapa mwamabie akuoneshe just 1% of this akipata mm nafunga acc jamii forum na hapo ina over 10yrs tayar😂😂👇👇😂
6541B926-0A74-4DC7-BA49-DEDEE837FF9D.png
 
So show me just 1% of that render ukipata mm nafunga acc jamii forum mark my words[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] remb is over 10yrs now

Is that 1% of this [emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji3] kweli bangi inavutwa
View attachment 1626995
Acha Mabishano na Akina Omondi.. watakupasua masikio! 🙂

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hawa nawajua vzr bro [emoji23][emoji23][emoji23] yani najua mpaka kutofautisha chupi zao
Wanapenda Render... Hatari... 🙂

Tabia za kiwizi wizi tuu... Kuwahadaa watu huko duniani na mipicha ya kompyuta home kuko hivi.. wakitembelewa wamejazana Kariobangi na Kule kwenye ile "Best Unplanned Area" yao.. 🙂

😀

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom