Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ni sawa pia. Mbona mnataka ku force tufanye vitu kwa sababu mnafanya? Kenya hatukurupukwi kama nyinyi. Sisi kama wananchi tunafurahia ujio wa hivyo vyuma "chakavu" kwa sababu mbali na kutupunguzia gharama ya kununua vitu mpya, bado yatafanya kazi iliodhamiriwa.
Yameanza kuwatia hasara kutokana na gharama ya matengenezo kutokana na uchakavu
 
kama sio wazembe basi ni wajinga munaenda kuingia kwenye commercial loans kisa mzungu anataka ufate matakwa yao alaf leo unashangaa debt to gdp ratio imehara kabisa 😂😂👇👇👇
View attachment 1606292
Na bado! Tutaomba deni sababu sisi tuna uwezo wa kulipa. Sio kusamehewa deni kama nchi nyingine kanda hii 😹😹

Kisha mbona mambo ya deni yanakukata matumbo namna hii? Utatusaidia kulipa? Wajukuu wako watalipa deni la Kenya? Pilipili usioila yakuwashia nini? 😹😹
 
Na bado! Tutaomba deni sababu sisi tuna uwezo wa kulipa. Sio kusamehewa deni kama nchi nyingine kanda hii

Kisha mbona mambo ya deni yanakukata matumbo namna hii? Utatusaidia kulipa? Wajukuu wako watalipa deni la Kenya? Pilipili usioila yakuwashia nini?
Hamna uwezo wa kulipa ndio sababu mchina alikataa kuwapa pesa, reli imeishia Porini
 
Hamuwezi kuweka umeme katika reli iliyoishia porini, malizeni deni ya mchina kwanza
Hahaha Hatuwezi uliskia wapi? Sisi hatukurupuki. Ni rahisi sana ku upgrade reli yetu to electric standards sababu KUU ni kuwa hii ni Chinese Class 1 standards. Wachina pia waliupgrade zao vivyo hivyo. Au hutaki kuskia hayo? Wivu ni ya nini? Usipandwe na presha Buda, utakufa bureee
 
Hahaha Hatuwezi uliskia wapi? Sisi hatukurupuki. Ni rahisi sana ku upgrade reli yetu to electric standards sababu KUU ni kuwa hii ni Chinese Class 1 standards. Wachina pia waliupgrade zao vivyo hivyo. Au hutaki kuskia hayo? Wivu ni ya nini? Usipandwe na presha Buda, utakufa bureee
mutaweza wapi nchi imehara tayar budaa😂😂😂😂👇👇👇👇
487D29B7-1E2D-45A8-92CA-8E42FFA541A3.jpeg
 
Back
Top Bottom