Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3680894

Kelele zote hizo ni kuhusu EACOP. Just imagin project ya billions of money inakimbizwa haraka haraka kama uuzaji wa nyanya. Refinery project need a lot of process.

Walinusa wakaona kuna Refinery inajengwa Tanga. Sasa wamekuja na kelele ili waonekane wao ndio walikuwa na wazo. We don't Care.

Hiyo dawa yao ni kama paracentamol inatuliza maumivu lakini ugonjwa bado upo pale pale.
Museven leo kamchana ruto huko lamu,kasema plan ya refinery tanga aliongea na mama samia,hata hajui ruto alipata vipi info akadandia treni kwa mbele,wakamtosa 😄,but leo kawaambia tanga itajengwa refinery,hoima refinery,anadai alienda saudia akakuta refinery 9
 
Back
Top Bottom