Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nusu ya population yenu ni maskini wa kutupwa hawana huo uwezo wa kuabiri reli ya sgr, mnajengea nani?
Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.

Anyway, we wish them all the best.
 
Mm Wakenya huwa nawa zoom af nacheka sn mnapojisumbua kulinganisha Dar na Nairobi cjui mnamaanisha nn yn, Dar kwa ss iko mbele ya nairobi mkubali au mkatae numbers don't lie.
Dar iko Mbele ya NAIROBI kwa kipi? Hebu tusimulie tupate uhondo.

Dooh, JF ni raha sana kwa vichekesho. Yaani hakuna haja ya kulipa subscriptions za Netflix hataa 😹
 
Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.

Anyway, we wish them all the best.
Hahahaha nani kakudanganya?
Yaani hii inaonesha namna gani sgr yetu inawapa mawenge, halafu hata tukiamua kuifanya ya abiria tu bado ni moja ya social services na bado faida itapatikana na sababu hatudaiwi na mtu
 
8th globally 🥶🥶😁😁😁

Kama tupo 8th globally at 29% (14m) basi TZ mmeshikilia namba moja au mbili. 😹😹

Yaani 28million people? 48% halafu wewe shida yako ni Kenya kuwa 8th globally? Dooh, silipiii Netflix hii month. 😹😹
 
Kama tupo 8th globally at 29% (14m) basi TZ mmeshikilia namba moja au mbili. 😹😹

Yaani 28million people? 48% halafu wewe shida yako ni Kenya kuwa 8th globally? Dooh, silipiii Netflix hii month. 😹😹
2020 report latest 👌😁😁😁
Mpo million 25
Screenshot_20200813-071858~2.png
 
Nawashangaa sana.. Mizigo karibia 80% inayopakuliwa Dar hubakia huko huko Dar slum. Sasa hii SGR ya kukurupuka sababu Kenya imejenga nangoja kuona losses zake "mwakani". That is kama GoT hawataficha ripoti zao.

Anyway, we wish them all the best.
Huyu naye mlevi wa wapi huyu? Ss hicho chakula tunachowaleteeni huoni km itarahisisha usafiri wa fasta na kwa bei ya chini?
 
Dar iko Mbele ya NAIROBI kwa kipi? Hebu tusimulie tupate uhondo.

Dooh, JF ni raha sana kwa vichekesho. Yaani hakuna haja ya kulipa subscriptions za Netflix hataa
Nairobi kuna BRT? Nairobi kuna reli ya umeme? Tuanzie hapo kwanza af na ww niambie nairobi kuna kipi ambacho Dar hamna
 
Hahahaha nani kakudanganya?
Yaani hii inaonesha namna gani sgr yetu inawapa mawenge, halafu hata tukiamua kuifanya ya abiria tu bado ni moja ya social services na bado faida itapatikana na sababu hatudaiwi na mtu
Mbona itupe mawenge ilhali yetu inafanya kazi miaka tatu Sasa. Abiria karibu milioni 5 washaatumia SGR yetu. Mizigo kupitia SGR yanazidi kuongezeka maradufu. Yaani maisha rahaa, halafu tuiwaze reli yenu ambayo hata halijulikani ujenzi wake wapi na wapi, hamna uhakika mtakopa wapi pesa za kulijenga n.k?

Silipiii Netflix hii month. JF vichekesho si haba 😹😹

Msishindane na ndovu kunywa maji. Mtapasuka msamba pyaaa
 
K

Kwa hivyo mbona hamkutupa amani tukipata mikopo yetu sababu Corona? Kweli nyani haoni kundule.

JF raha. Dooh, NETFLIX silipiii 😹
kwan hujui corona imeharibu uchumi wa dunia au unataka tufundishane mbona unakua kama bogus
 
Back
Top Bottom