Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni jambo la kuchekesha na kusikitisha sana kwa mtu anayeshangaa kwa Tanzania kuzalisha umeme wa ziada tena wa bei nafuu. Umeme ni "Consumable goods", kama ilivyo chakula. Tanzania tunazalisha tani 16M kwa mwaka wakati mahitaji yetu ni tani 13M, na bado kila siku tunaongeza bidii ya kuzalisha chakula kingi zaidi, mbona hamjiulizi katika hilo?.

Nchi zote zinazotuzunguka na hata ambazo hazituzunguki Kama Zimbabwe na Namibia zina mahitaji makubwa sana ya Chakula, wote wanakuja kununua chakula.

Nilisema ninaweza kukudhalilisha sio kukutusi, kukudhalilisha ni pale nitakapoeleza kitu kitakachoonyesha kwamba wewe kwa werevu wako wote kumbe hujui vitu vya msingi kabisa.

Siamini kama wewe hujui kwamba, sasa hivi nchi zote toka South Africa hadi Ethiopia zinaunganishwa kwa njia kubwa sana ya umeme, kwa huku Tanzania umeshafika Singida unakuja Kenya, na ninyi Kenya umeshakaribia Namanga na mnaendelea hadi Ethiopia.

Lengo la huu muunganiko ni kwamba, kila nchi itakua inaingiza umeme wake wa ziada kwa ajili ya kuwauzia wenye upungufu, na kuchukua. Kiukweli, nchi nyingi sana zina upungufu wa umeme, hasa umeme wa bei nafuu. South Afrika inaongoza katika kuhitaji umeme wa ziada.

Hivi unategeme Kama Tanzania tutauza umeme kwa $5cent wakati Kenya umeme wenu ni $13cent mtaacha kuchukua wa Tanzania?.
Umemaliza mkuu.
 
Bwawa litajazwa kwa hatua 6, hivyo bado nafasi ya mazungumzo ipo wazi. AU ndio wasuluhishi katika hili swala. Ishu hapo ni Ethiopia hataki kufuata matakwa ya Misri moja kwa moja, nae anataka apenyeze ajenda zake katika hayo makubaliano. Hivyo kadiri muda unavyokwenda watafikia muafaka tu mkuu. Hakuna vita hapo maana hata wakifumua hizo gates za bwawa hapo wataingia kwenye vita baridi. Ethiopia anaweza kuhujumu hicho chanzo cha maji ya mto na kivyovyote Misri ata athirika vibaya. Hapo inahitajika busara kubwa maana wote wako in a losing side kama watachukua hatua za kukurupuka na kuingia vitani. Ethiopia anaweza tupia chemical debris huko kwenye maji na show ikaisha bila hata kurusha risasi
Best comment.
 
1601426467276.png

1601426722310.png
 
Since covid they were closed, which money do they want to run activities? which activities are running now and people are working from home? the discussion I had was on salaries before u jumped in like a baboon with this universities issue, they are budgeted for every financial year and they also make lots of money from self sponsored students and from HELB, it is a matter of releasing cash once they resume, nilikuambia hauwelewi Kenya wewe. The way people argue when placing demands trying to show the dire need of cash wewe unadhani eti basi sasa Kenya kwisha , watch and see if universities will stall, if ever it can happen in mighty Kenya, hilo haliwezekani, ata ukifunga na kuomba siku arubaini na moja, halitatokea. It is an expression of how urgent and desperate as at now the campuses are. Wewe ni mpumbavu kweli, next time before jumping on me like a baboon, seek understanding first. Nyambaff, u just pick kenyan news blindly, kisha u read your thoughts and desires in it if wishes were horses. If universities fail to run in Kenya, ask me nifunge account humu.
Katika watu wajinga hapa sijawahi kuona kama wewe, hujui lolote zaidi ya kupiga domo tu, mbona wewe ni mpumbavu kiasi hiki?.

Hivyo vyuo vikuu vimelimbikiza madeni ya muda mrefu, wewe wacha ujinga wako. Ukimsikiliza huyo muhusika anasema vyuo vya serikali vinadaiwa Billions of Kshs, kutokana na madeni ya muda mrefu, wewe kwa akili yako ya kipumbavu unadhani wanalipa matumizi yao papo kwa papo kila siku, kwahiyo wakifunga vyuo hawana matumizi?.

Hao wanatumia services kama umeme, maji, rents, fuels, na shughuli zao karibu zote kwa kipindi kirefu ndio wanalipa. Ulishawahi kusikia makampuni mbalimbali yanayo supply bidhaa mbalimbali kwa serikali na hawajalipwa kwa zaidi ya miaka mitatu, unadhani hiyo serikali ni nani kama sio pamoja na vyuo vikuu?.

Punguza ujinga wako, hujui lolote zaidi ya kutetea your tribesmen who are failing Kenyans. Hivyo vyuo vikuuehavipewi pesa, vinashindwa kulipa bills zake, suppliers wanashindwa kuendelea kuwapa services jambo ambalo linasababisha kupungua kwa ufanisi wa kuendesha kwa shughuli za vyuo vikuu.
 
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios
 
Hizo picha zilishawekwa hapa zaidi ya mara 100. So leta kitu kipya tutashituka. 🤣 🤣 🤣
 
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios
Usilie sasa, mbona hivyo?
 
Back
Top Bottom