kwan corona imeisha?

viongozi washakula hela za IMF sasa walalahoi mnaachiwa huru mtakavyo
viongozi washakula hela za IMF sasa walalahoi mnaachiwa huru mtakavyoHizi mtu zikikaa karibu na mnyama kuwa na wasi maana chochote chaweza kutokea unaweza kumpata kwenye act suruali magotini!Ng'ombe wa kenya kumbe ni wa kiboya namna hii yaani anakaliwa na ng'ombe ingine halafu ametulia tu. 😃😃😃😃
JKIA - 8.3 million passengerstuna international airports zaid ya tatu afu nchi isiwe international aviation hub in EA? wataisoma namba
1. Julius Nyerere International Airport- Dar
2. Kilimanjaro International Airport- Ki’njaro
3. Abeid Aman Karume International Airport- Zanzibar
4. Songwe International Airport- Mbeya
5. Mwanza International Airport- Mwanza (U/C)
6. Msalato International Airport- Dodoma (U/C)
tukumbuke Tanzania imezungukwa na nchi nane![]()



haya sasa nadhani kwenye sector ya viwanja vya ndege....kenya tushaichapa tena K.O Kwahiyo Museveni alikuwapo kipindi cha Jomo Kenyatta?Migingo enzi za moi na kenyatta alikua wapi
Sasa kapata watu wa hekima kibaki na uhuru ndio anajikuta anajua..
Msiombe hustler akalie kiti, mtapata tabu snaa
kwa upande wa airport wakenya tushawapoteza walipiga sana kelele...bado mwanza na mbeya majengo ya abiria......Zanzibar's AAKIA is ready to serve the World
mkuu tushawapoteza.....tuna international airports zaid ya tatu afu nchi isiwe international aviation hub in EA? wataisoma namba
1. Julius Nyerere International Airport- Dar
2. Kilimanjaro International Airport- Ki’njaro
3. Abeid Aman Karume International Airport- Zanzibar
4. Songwe International Airport- Mbeya
5. Mwanza International Airport- Mwanza (U/C)
6. Msalato International Airport- Dodoma (U/C)
tukumbuke Tanzania imezungukwa na nchi nane![]()
Too much excuses , but i asure you you dont have a gut to troll M7, as for us dont even dare my friendMigingo enzi za moi na kenyatta alikua wapi
Sasa kapata watu wa hekima kibaki na uhuru ndio anajikuta anajua..
Msiombe hustler akalie kiti, mtapata tabu snaa


Hao mbona nima hawara .... kizembe tu ng'ombe akuach umkalie




wanajuana hao...msisahau tabia za hao jamaa ...Corona imeisha?wazee wa msitoke nje usiku
sio waanchiwa huru pekeyake na kulipa madeni ya imf na world bank huku pesa za corona zimepigwa mpaka vifaa vyenyewe😀😀😀kwan corona imeisha?viongozi washakula hela za IMF sasa walalahoi mnaachiwa huru mtakavyo
kwann source ya kenya ni kenya airport authority na kwann source ya tanzania ni TCAA ??? tafuta source from official web ya tanzania airport authority and not TCAA 😂😂JKIA - 8.3 million passengers
All Tanzanian airports - 5.5 million passengers
View attachment 1583070View attachment 1583071
mbeya tayari jengo la abiria liko mwishoni kabisakwa upande wa airport wakenya tushawapoteza walipiga sana kelele...bado mwanza na mbeya majengo ya abiria......
wenzetu wanajenga nairobi pekee....
kenya ni stupid sana
So TCAA wamedanganya?😂😂kwann source ya kenya ni kenya airport authority na kwann source ya tanzania ni TCAA ??? tafuta source from official web ya tanzania airport authority and not TCAA 😂😂
sio kazi yao ni kazi ya Tanzania airport authority kama ile source ya kenya uliotoa kenya airport authority ukipata data sahihi kutoka tanznaia airport authority ni tag nasubiria 😀😀😀So TCAA wamedanganya?