Na ndiyo maana kuna comment nilikuuliza Tony kwamba kwn ww ni mgeni kwenye huu uzi cz ulikuwa unaleta vitu au unaongelea kitu as if humu ni kigeni.
Mfano kuna hoja ya density (wingi wa ghorofa ktk eneo moja) hii hoja ilishaisha na Wakenya wote wanajua ukweli kwamba hakuna ktk East and Central of Africa eneo lenye density km K/Koo-Tz.
Pili unapoongelea suala la kuto sifia, hapa naomba ww mwenyewe uwe shahidi kwamba WaTz ndiyo huwa wanasifia vitu vya kenya hata ww mwenyewe umewahi kuniambia kuwa mm huwa nakubali humu but kiukweli cc WaTz huwa tunakubali pale jambo la kenya linapoonekana ni zuri, hata likes za WaTz umepata kutoka kwangu,
tuusan na
Ppmosile na kuna comment juu kule
Ppmosile amepongeza kuhusu nanosatelite.
Mwisho nikuambie tu kwamba Wakenya ndiyo pekee huwa hawa like wala kupongeza jambo lolote la kutoka Tz kiasi cha kwamba mm pia niliwaomba WaTz wenzangu wasipongeze jambo lolote kutoka kenya cz they are not fair kabisa. So hili jambo la ww kutoka kwenye huu uzi linanipa mashaka kwamba huenda na ww ulikuwa hufahamu vzr kuhusu Tz and now umeujua ukweli hvyo nikutakie safari njema mkuu tuache cc tuendelee kuwapa darasa Wakenya wenzio watakaobaki humu.