ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,414
- 85,225
Hao ni wana ccm huwa nawapotezea wanatetea ugali wao,waambie wakaanzishe hizo mada zao kwenye majukwa yanayohusisha watz wengi uone kama watathubutu kwa sababu wanajua watapewa za uso huku wanajitutumua maana sio wabongo wengi wanapenda jukwaa hili.Hata saizi hawawezi kukuambia kwamba kampeni za Magu na nyimbo zake za sgr,stiglaz,flaiova sijui bomba zimebuma hutowasikia ilaukweli nao wanaujua kwamba Magu hawezi pita wala hakubaliki but anategemea tume na polisi.Watanzania wenzako watakuattack ila upo sahihi. Nakubaliana nawe.
Kila sehemu watu wanalia maisha magumu na wanamlaumu kwa kukurupukia miradi isiyo na tija kwa watu kwa pupa
