Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka maendeleo yako, na ni obligation ya serikali kujenga miundo mbinu, mimi I can seperate propaganda from facts, one day try critical thinking before arguing, govts are even not supposed to campaign using what they are supposed to do(be it in Kenya or Tz), ni kama mzazi wako apige kifua eti kakuzaa kisha kakulisha na kukuvisha, hiyo ni kazi yake kwako, it is not a privilege it is an obligation! akishindwa ni makosa sana., what they are supposed kupigia kifua ni kama wametengeneza ama kuongeza uwekezaji, industries and job creation, kupunguza umasikini kwa kiwango cha juu n.k., haya mengine ni kazi yao na inawapasa kufanya.,
hayo maendeleo tunayaona sisi kwa kipindi kifupi nahisi ni sawa na kenya miaka 30 hilo nikwambie wazi, wapo wakenya wenye akili wanaojua umuhimu wa magufuli,

jubilee inaondoka madarakani keshokutwa ikiwaachia deni ambalo hamujawah kuliskia milele😂😂👇👇 9.2trillion ksh mutasugua gaga mpaka yesu ashuke
A0E86E25-BF31-49C9-8FA2-35C63BDB106E.jpeg

alaf muko hapa kuiponda tanzania kila jema linalofanywa ubaya wote ni CCM yani inaonesha munachuki na CCM😀😀😀
 
It has happened even more, especially during this covid season, hiyo ni passing clouds, mawingu yanayo pita, what is important we have proper systems in place, county govts are stabilizing, kukitulia tu kidogo we progress very fast., ndio maana world bank wakitoa report mnalia lia eti tunapika GDP na kuna facts to verify why Kenya is above Tz in GDP., na gap itaongezeka, wait tufungue uchumi kikamilifu uone vile manyangáu wanajituma, kwanza siku hizi vijana wengi mtaani hawataki kuandikwa kazi, wameanza kuona ni kama utumwa., self employment imeanza kuonekana as more fashionable and best. Amini usiamini.
sasa hvi kisingizio imekua covid 😂😂😂 so zile pesa mlizokopa za covid alaf wakala mafisadi utasema nini???
 
Kaka it has not taken four years to pave 13000km of roads kaka., it was some kms before ifike 13000km, try to be realistic and truthful, wacha ushabiki wa CCM 😂 😂 😂 na hapa bado mko nyuma yetu pia, and with your populace and size hiyo bado sana! But good trial, keep up.
so ww hujiulize tulikua wapi kwenye paved road before magufuli and now tuko wapi?? hilo pia hujiulizi mzee 😀😀 yani ni simple things

mukubali tu japo inauma kua magufuli kafanya makubwa kwenye nchi hii na haijawah tokea mark my words
 
Kaka it has not taken four years to pave 13000km of roads kaka., it was some kms before ifike 13000km, try to be realistic and truthful, wacha ushabiki wa CCM 😂 😂 😂 na hapa bado mko nyuma yetu pia, and with your populace and size hiyo bado sana! But good trial, keep up.
yani tatizo lenu nyinyi tanzania ikifanya maendeleo chuki zenu ni kwa CCM 😂😂😂 sasa sijui ccm iliwakosea nn nyie
 
Kaka it has not taken four years to pave 13000km of roads kaka., it was some kms before ifike 13000km, try to be realistic and truthful, wacha ushabiki wa CCM 😂 😂 😂 na hapa bado mko nyuma yetu pia, and with your populace and size hiyo bado sana! But good trial, keep up.
tuko nyuma yenu kwenye nn??? kama ni middle income tuko sambamba kitu ambacho mulikua munabwata sana humu ndani i remember😂😂 siku hzi hatuskii mukiongea kabisa mumebakia kuongelea ushuzi wa GDP waka deni linakwenda 9.2trillion ksh😀😀😀😀😀
 
Katika watu wajinga hapa sijawahi kuona kama wewe, hujui lolote zaidi ya kupiga domo tu, mbona wewe ni mpumbavu kiasi hiki?.

Hivyo vyuo vikuu vimelimbikiza madeni ya muda mrefu, wewe wacha ujinga wako. Ukimsikiliza huyo muhusika anasema vyuo vya serikali vinadaiwa Billions of Kshs, kutokana na madeni ya muda mrefu, wewe kwa akili yako ya kipumbavu unadhani wanalipa matumizi yao papo kwa papo kila siku, kwahiyo wakifunga vyuo hawana matumizi?.

Hao wanatumia services kama umeme, maji, rents, fuels, na shughuli zao karibu zote kwa kipindi kirefu ndio wanalipa. Ulishawahi kusikia makampuni mbalimbali yanayo supply bidhaa mbalimbali kwa serikali na hawajalipwa kwa zaidi ya miaka mitatu, unadhani hiyo serikali ni nani kama sio pamoja na vyuo vikuu?.

Punguza ujinga wako, hujui lolote zaidi ya kutetea your tribesmen who are failing Kenyans. Hivyo vyuo vikuuehavipewi pesa, vinashindwa kulipa bills zake, suppliers wanashindwa kuendelea kuwapa services jambo ambalo linasababisha kupungua kwa ufanisi wa kuendesha kwa shughuli za vyuo vikuu.
huyo mbona anaeleweka ni bogus asie na mfano yeye maendeleo yakifanyika tanzania chuki zake ni kwa CCM😂😂😂😂
 
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios

umeishiwa pumzi sio? unamwaga povu tu saiz
IMG_1601441293.701370.jpg
 
Na ndiyo maana kuna comment nilikuuliza Tony kwamba kwn ww ni mgeni kwenye huu uzi cz ulikuwa unaleta vitu au unaongelea kitu as if humu ni kigeni.

Mfano kuna hoja ya density (wingi wa ghorofa ktk eneo moja) hii hoja ilishaisha na Wakenya wote wanajua ukweli kwamba hakuna ktk East and Central of Africa eneo lenye density km K/Koo-Tz.

Pili unapoongelea suala la kuto sifia, hapa naomba ww mwenyewe uwe shahidi kwamba WaTz ndiyo huwa wanasifia vitu vya kenya hata ww mwenyewe umewahi kuniambia kuwa mm huwa nakubali humu but kiukweli cc WaTz huwa tunakubali pale jambo la kenya linapoonekana ni zuri, hata likes za WaTz umepata kutoka kwangu, tuusan na Ppmosile na kuna comment juu kule Ppmosile amepongeza kuhusu nanosatelite.

Mwisho nikuambie tu kwamba Wakenya ndiyo pekee huwa hawa like wala kupongeza jambo lolote la kutoka Tz kiasi cha kwamba mm pia niliwaomba WaTz wenzangu wasipongeze jambo lolote kutoka kenya cz they are not fair kabisa. So hili jambo la ww kutoka kwenye huu uzi linanipa mashaka kwamba huenda na ww ulikuwa hufahamu vzr kuhusu Tz and now umeujua ukweli hvyo nikutakie safari njema mkuu tuache cc tuendelee kuwapa darasa Wakenya wenzio watakaobaki humu.
 
Jamani watanzania wenzangu tupunguze dozi kdg au tuwe tuna like japo mara moja moja picha na comment za Wakenya ili wasijisikie kupitwa kila kitu c unajua wenzetu ndo tangu wanakuwa wanafundishwa shuleni na pia hata na wazazi wao kwmb wapo juu kuliko Tz, so hizi mambo wakija on ground wanagundua vitu ni different.

Ss naomba twende nao taratibu wataelewa kdg kdg na mwishowe watakubali ndg zng tusiwafanyie hv, c umeona kuna Wakenya wamekuja Tz juzi juzi mambo waliyoyaona huku wameanza kuwayangazia wenzao kwmb Tz ya ss ni moto wa kuotea mbali
 
niliwah kusema mm huu uzi umewafungua wakenya wengi macho manake wao katika fikra zao mpaka leo walikua wakidhani tanzania bado ni ile 90s😀😀😀😀 sasa leo wanatahamaki kushakucha na kutafuta shuka, mwengine akiona maendeleo ya tanzania hasira zake anamalizia CCM, Mungu atupe uhai tu ila tutaona mengi sana
 
Jamani watanzania wenzangu tupunguze dozi kdg au tuwe tuna like japo mara moja moja picha na comment za Wakenya ili wasijisikie kupitwa kila kitu c unajua wenzetu ndo tangu wanakuwa wanafundishwa shuleni na pia hata na wazazi wao kwmb wapo juu kuliko Tz, so hizi mambo wakija on ground wanagundua vitu ni different.

Ss naomba twende nao taratibu wataelewa kdg kdg na mwishowe watakubali ndg zng tusiwafanyie hv, c umeona kuna Wakenya wamekuja Tz juzi juzi mambo waliyoyaona huku wameanza kuwayangazia wenzao kwmb Tz ya ss ni moto wa kuotea mbali
wanatakiwa kubadilika miaka inakwenda mbele na hairudi nyuma lazma wabadilike nchi zote east africa na SADC zimeamka na zinafanya mambo makubwa sana japo mengine hayaonekani, lazima wabadilike na wajue sasa ni 21st century kuna ushindani mkubwa wa maendeleo na hakuna nchi ambayo iko tayar kubaki nyuma kimaendeleo, mtu amebakia kusifia GDP huku deni linaelekea 80%😂😂👇 tena anafurahia kabisa
8BF7AD84-B8E2-435F-B10C-7C1F854BD854.jpeg
 
Jamani watanzania wenzangu tupunguze dozi kdg au tuwe tuna like japo mara moja moja picha na comment za Wakenya ili wasijisikie kupitwa kila kitu c unajua wenzetu ndo tangu wanakuwa wanafundishwa shuleni na pia hata na wazazi wao kwmb wapo juu kuliko Tz, so hizi mambo wakija on ground wanagundua vitu ni different.

Ss naomba twende nao taratibu wataelewa kdg kdg na mwishowe watakubali ndg zng tusiwafanyie hv, c umeona kuna Wakenya wamekuja Tz juzi juzi mambo waliyoyaona huku wameanza kuwayangazia wenzao kwmb Tz ya ss ni moto wa kuotea mbali
Spana zipo pale pale
 
Watanzania ni wajinga. Nimepost picha za Nairobi lakini kwa sababu wana roho mbaya na wivu wanajifanya hawajaziona picha. Wajinga sana hawa watu. Kitu kama ni kizuri cha Kenya wananyamaza na kujifanya hawajaiona. Hata sitadebate tena kwenye uzi huu. Nimeelewa kwa nini Wakenya wengine wameipuuza uzi huu. Hapa hata Mkenya akipost jambo lolote nzuri la Kenya maumbwa yatapuuza tu. Adios. Hamutaniona kwenye uzi huu tena. Wivu na utoto sipendi. Eti mtu anatazama picha hizo zote kisha ananyamaza eti kwa sababu ni ya Kenya? Mimi picha ikiwa nzuri ya Tanzania huwa napongeza ila sipendi debate za aina hii ambayo unafiki, wivu na majungu ndio imewekwa mbele. Kila Mtanzania anajaribu kupuuza mazuri ya Kenya kila kitu ni kibaya. Yaani hakuna jambo lolote nzuri linalofanyika Kenya. Adios
Jinsi ulivonung'unika imenibidi niende kucheki Profile yako but sikuamini nakuta eti ni male. Buda inabidi ubadilike, kama unapenda attention namna hii sijui aisee
 
Back
Top Bottom